Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
Hii ban imeanza mchana huu?Ana ban
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ban imeanza mchana huu?Ana ban
Unamtaji mkubwa sana wa wawateja..marafiki wako wengi ndio kina sisi lazima uuze[emoji23] [emoji23]Ningekua nayo ningeringa
[emoji23][emoji23]Usisahau kunitag
[emoji23] [emoji23]Supuu ya kongoro View attachment 765584
mimi?Mpiga debe
Yaani. Ngoja nijipange. Itakua bonge ya pub yani.Yani make sure lazima unakuja kumiliki pub yako au grocery...kataa kushindwa
[emoji23][emoji23] akipatikana mtu nitakutag na wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yani wateja ni wengi sana. Ngoja nifanyie kazi hilo jamboUnamtaji mkubwa sana wa wawateja..marafiki wako wengi ndio kina sisi lazima uuze[emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Demiss huyu zamani alianza kufanya biashara za mitandaoni kuuza vitu baadae akala mtaji kwa sasa anatafuta mme.
[emoji125][emoji125][emoji125]Daktaree
Demiss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]chata nyingine hiiiii kuanzia Bagamoyo Mapinga Bunju Tegeta Mwenge mpaka Mbagala rangi Tatu Mzinga kongoweeeealafu ww wa Dodoma IMTU umeijulia wapii!![emoji20][emoji20][emoji20][emoji12][emoji12][emoji12][emoji1][emoji1][emoji1]