Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Lol.Ila nilivyokazia mdogo wako agata akaja kulegezea tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Lol.Ila nilivyokazia mdogo wako agata akaja kulegezea tena
Hahaaaa. Ewaaaaaaa. [emoji7] [emoji7]Nakazia zaidiiiii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Na wkend unawawekea supu na makangeInalipaaaa ngoja na mimi niuze kibanda changu nifungue grocary
unatafuta shari iliyotukuka mkuuGentamycine
Nipo...karibu dukani kuna vipodozi vya aina zote dear....Hahaaaa. Kumbe upo mdogo wangu.
[emoji23][emoji28][emoji23] ngoja aje..nani Askari Magereza?
Hahahaha mimi nipo kwenye Extra luxuryNdiooo nasikia upo kwenye Shambalai hakiii [emoji590] bus silipend hilo
Hahahaaa. Naja naja mdogo wangu si unajua nipo home tu muda huu. Hahaaaaa.Nipo...karibu dukani kuna vipodozi vya aina zote dear....
Kubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mbona mimi hunipi cheo au kazi? usitunyanyapae.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie
hahaaah[emoji23][emoji28][emoji23] ngoja aje..
Kampatia kweli[emoji23] [emoji23]Miss natafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji28][emoji23] aiseeMiss natafuta-mc wa kwenye maharusi.
HaaaaaKwa Week ana vipindi 3 akimaliza anazama JF kula likes