samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
grease si inapatikana lakiniNafua kaniki na kuosha vibuyuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
grease si inapatikana lakiniNafua kaniki na kuosha vibuyuuuu
Au wewe kazi yako kama ya mama Sabrina!!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1]
Babe niko kwenye mikono yako salama wala usihofu kwa hilosikuelewi elewi
Mama Sabrina anauza duka la DagaaaMama Sabrina. mbona haujamslizia kazi yake? GENTAMYCINE. huyu itakuwa kweli maana akili yake anaijua mwenyewe
Kama nakuona vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hunifikiii mimi
kwa hajar na mwifwa umekosea my wiiiKubashiri day karibuni.
Mshana Jr - Mganga wa kienyeji
Mwifwa - Manager NGOs
GENTAMYCINE - Askari magereza keko.
Hazard FC - Kondakta Dar -Arusha
Prondo - Muuza screpa za Magari
Nalendwa -Huyu madam wa A level History
Hajar -Mother House
Aspirin -Mstaafu anasubiria mafao amekuwa dalali kijiweni.
Mama Sabrina [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
missyrose -Mama ntilie