Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Bashiri kazi ya members wa JF kwa kuangalia comment na Thread zake!

Tulikua hatujui kitu sisi katushtukiza tu tena Hajar alivyoona hayo maongezi ya Mwifwa alizimia ikabidi tumpepe...

Mimi nilijua simu inanidanganya au Mwifwa kapata shambulio kama lile JF ilipata ikabidi niizime alafu niwashe tena, nikaifuta app alafu nikaidownload tena..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaaaa. Yanamwagika kwa kweli.

Mie nimecheka pale pa blanket. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom