Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yan shemej yako unamuita mr tunguli

Atakugeuza sofaa niwe nakaaaa
[emoji120] [emoji120] [emoji120] samahani Shem. Ulimi uliteleza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mkuu wewe si wa nchi hii. Hayo maneno ni common kila kona, Halafu kumbe hujawahi yasikia!!
Mimi ni Mtanzania bwana nimezaliwa na kukulia TZ, hiyo misamiati ukweli sikuwahi isikia eda, ulozi na mgagula. Hapana
 
Nimekodoa macho kutafuta ubashiriwaji wa kiongozi wa Russia
 
Umeshapata mtu wa kukuchuna kwanza
Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums
Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Shida na raha, Mar 8, 2018.

Watch Thread
Page 1 of 4
1 2 3 4
Go to First Unread

Shida na raha JF-Expert Member
#1
Mar 8, 2018

Joined:Aug 8, 2014
Messages:2,227
Likes Received:1,618
Trophy Points:280
New
Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Wengi wetu tunalalamikia kukaza kwa vyuma, ni kweli vimekaza lakini mbona akijitokeza mtu alainishe japo kidogo hamtaki?

Sidhani yasemwayo kama ni kweli...haya ambaye yuko tayari aje tuvilegeze ili siku ziende mbele.
Bajet ni laki mbili na hamsini ya kunywa, kula na kulala.

Hakuna haja ya mahoteli maana utashindwa kupata ya kwenda kunywa chai asubuhi.
Karibuni kwa yule ambae atakua tayari pm ipo wazi sitanii.

Report
Like - 3 people likes
 
Naona umeamua kufukua makaburi, sijapata bado [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…