Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Yiiih. Nimeikumbuka ile saa yangu [emoji8][emoji8][emoji8]
Ile nyekundu eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yiiih. Nimeikumbuka ile saa yangu [emoji8][emoji8][emoji8]
Jamani Shemeji. Namie basi niletee murembo[emoji2] [emoji2]Usijidanganye Mzigua wa Nyani wanakuchora tu hapoooo njoo nikupe mtot mzuri
[emoji120] [emoji120] [emoji120] samahani Shem. Ulimi uliteleza[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yan shemej yako unamuita mr tunguli
Atakugeuza sofaa niwe nakaaaa
Kigagula ndio nn hearly?
eda ndio wapi?
Hapana, kiswahili hicho cha wapii sijawai kusikia mm
Mkuu wewe si wa nchi hii. Hayo maneno ni common kila kona, Halafu kumbe hujawahi yasikia!!Kwahyo uchawi unamisamiati mingi maana jana pia mlikua mnasema ulozi [emoji20]
Haiwezekani. Hapa had nahisi unapata shida kukitumia hiki kiswahilihahaha mm nimesoma saint kayumba zoote [emoji1][emoji1]
Hapana sio kweliHaiwezekani. Hapa had nahisi unapata shida kukitumia hiki kiswahili
Mimi ni Mtanzania bwana nimezaliwa na kukulia TZ, hiyo misamiati ukweli sikuwahi isikia eda, ulozi na mgagula. HapanaMkuu wewe si wa nchi hii. Hayo maneno ni common kila kona, Halafu kumbe hujawahi yasikia!!
Demiss, niombee radhi kwa Shem wangu pleeeease[emoji120] [emoji120] [emoji120] samahani Shem. Ulimi uliteleza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Haya bwanaMimi ni Mtanzania bwana nimezaliwa na kukulia TZ, hiyo misamiati ukweli sikuwahi isikia eda, ulozi na mgagula. Hapana
SawaaaaJamani Shemeji. Namie basi niletee murembo[emoji2] [emoji2]
Tuko pamojaaaa[emoji120] [emoji120] [emoji120] samahani Shem. Ulimi uliteleza[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ha haa yaani ndo namuwaza hivyo siku zote, halafu ni handsome flani hivi anayejipenda
Basi itakuwa ni kweli..ha haaHii ya U handsome inaonekana kweli, hata maandishi yake yamekaa ki-handsome. 🙂
Siku nyingi ulipotea best au mimi ndo nilipotea?Umeshapata mtu wa kukuchuna kwanza
Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForumsUmeshapata mtu wa kukuchuna kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja nijaribu
Naona umeamua kufukua makaburi, sijapata bado [emoji1] [emoji1] [emoji1]Natafuta mdada wa kunichuna wa hapa JamiiForums
Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Shida na raha, Mar 8, 2018.
Watch Thread
Page 1 of 4
1 2 3 4
Go to First Unread
Shida na raha JF-Expert Member
#1
Mar 8, 2018
Joined:Aug 8, 2014
Messages:2,227
Likes Received:1,618
Trophy Points:280
New
Habari za asubuhi wapendwa wangu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Wengi wetu tunalalamikia kukaza kwa vyuma, ni kweli vimekaza lakini mbona akijitokeza mtu alainishe japo kidogo hamtaki?
Sidhani yasemwayo kama ni kweli...haya ambaye yuko tayari aje tuvilegeze ili siku ziende mbele.
Bajet ni laki mbili na hamsini ya kunywa, kula na kulala.
Hakuna haja ya mahoteli maana utashindwa kupata ya kwenda kunywa chai asubuhi.
Karibuni kwa yule ambae atakua tayari pm ipo wazi sitanii.
Report
Like - 3 people likes
Umenidanganyachungulia pm nimekurushia picha