Yan Mwifwa ndo kila kitu kwangu ndo ananijua vilivyo mdogo wakeNahisi Mwifwa atakua anazo sifa zake nyingine .. nahisi tu Demiss
1. Anadeka as usual
2. Ana kitumbua kizuriiii matatttta hatariii
3. Ana nguvu noma mwanaume ukiwa Lele mama unashangaa na uanaume wako umekufa hotelini bonge hana hamu na tototundu hii [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kweli kabisa.. Nimekujudge kwa thread zako tu cha mdeko.. Afu nilisahau sio kwa kukatika kunako 6*6[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
Cc Smart911
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja nijaribu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Siku nikijichanganya kidume kimoja kikatumwa kuja kuniteka hapa jf nahisi ataleta mrejesho wa hii sifa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja nijaribu
Najipenda halafu nakupenda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hujipendi Mshana nakwambia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mshana kampenda DemissNajipenda halafu nakupenda
hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu1.The List= jamaa ni bonge la smart, genius, na mwenye msimamo!...hapendi ujinga ujinga hata kidogo, akikuchamba humu unaeza jihisi we ni wa ovyoo mnoo!
2.Nandera= ni mdada smart na anajua vitu vingi mnoo
3.Avatar mok= huyu jamaa anapenda sana utani, kitu serious yy anachomekea stori zake za vijiweni, halafu yuko obsessed na witnessj, hata kama mada hainihusu lazima achomekee jina langu[emoji23] [emoji23] [emoji23] !!
Tupe na sifa zao mmoja mmojaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeona lakin mwenzio napendwaaa yan napendwaaaaahapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu
though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile
list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo
sifa za mmoja mmoja na hiyo list jinsi ilivyo sinitaandika MWANANCHI zima humu ""Tupe na sifa zao mmoja mmojaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] umeona lakin mwenzio napendwaaa yan napendwaaaaa
Ila wanaochunguzwa wanajifungia vioo.Shida na raha anapenda kuchunguza wenzake
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] jina tena[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mshana kampenda Demiss
Tafadhali utapewa jina flan hivi [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]mm naogopa kusema
Tukijaaliwa mwezi nikipata likizo natakutafuta tena tuje tupige swaga kwa sana.Naimiss kampani ya mabibo
Ndio kuna member alimpenda member flani watu wamempachika kichaa na siled zake wanazifungia viooo saiv[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] jina tena
PouwaTukijaaliwa mwezi nikipata likizo natakutafuta tena tuje tupige swaga kwa sana.
Ukisikia roho zenye kutu ndio hizoNdio kuna member alimpenda member flani watu wamempachika kichaa na siled zake wanazifungia viooo saiv[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]