Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Aiseeee.....

Deadbody-Makin kuchambua kile anachokipenda(anapenda kuwa tofauti kwa faida ya umma au jamii) [mpenda kuelimisha watu ila mchesh]

Mwifa-makin kusikiliza na kujibu haraka kwa ukomo WA uhitaj WA swali au hoja.haaah [multipurpose to social issues]

Daby-Mfuata hisia,mpenda kupenda na kupendwa ila mgumu kubadilishwa /kukubali.Anaona fahar kuwapatansha watu.

Emmyta-Msiri,jasiri,na mvumiliv ,HUJITAHD KUMPA MTU FURAH ILA..........kauzu flan akiwa nje ya keyboard
Hahahaaaa. Nimecheka hapo kwenye Usiri. Lol. Ujue we ni mtu wa pili kuandika ulichoandika.

theriogenology naye ashawahi andika sehemu hivi kuhusu Emmy.

Ila ahsante sana kwa kunielewa. [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu

though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile

list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
Ahsante sana na kweli nami huwa naamini siku zote jf ni watu na watu wenyewe ndio sisi.

Ubarikiwe sana Kaka ake kwa kuuona uwepo wa Emmy jf una manufaa.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Dada Emmy hearly ni mwanaume au mwanamke

Chomaweeeeeee nitaumbuka leo mm
Hahaaa. We Demiss wewe ndio swali gani hili mdogo wangu. [emoji85]

Naamini angekuwa sio angeshaniambia kitambo sababu hearly hizi Kaka Kaka zangu amezipata sana yaani na hajawahi niambia kwamba hazimstahili.

Kaka hearly hebu njoo kwani una utani na Demiss au mie ndio sina nijualo? Teh
 
Back
Top Bottom