Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16]unazan ukinipenda mm nina ubavu wa kukataaa sina maaana watu wataniogopa utawageuza visusioooUkisikia roho zenye kutu ndio hizo
Hiyo mood uliyotumia kuandika comment ni kama hiyo kwenye avatarKubashiri ID fake na uhalisia ni changamoto kubwa sana...
Unaweza kubashiri hivi lakini kiuhalisia ni tofauti kabisa...
Hizi ID fake zinaficha mambo mengi kiukweli.
(Naomba niishie hapa tafadhali)
Hahahaaaa. Nimecheka hapo kwenye Usiri. Lol. Ujue we ni mtu wa pili kuandika ulichoandika.Aiseeee.....
Deadbody-Makin kuchambua kile anachokipenda(anapenda kuwa tofauti kwa faida ya umma au jamii) [mpenda kuelimisha watu ila mchesh]
Mwifa-makin kusikiliza na kujibu haraka kwa ukomo WA uhitaj WA swali au hoja.haaah [multipurpose to social issues]
Daby-Mfuata hisia,mpenda kupenda na kupendwa ila mgumu kubadilishwa /kukubali.Anaona fahar kuwapatansha watu.
Emmyta-Msiri,jasiri,na mvumiliv ,HUJITAHD KUMPA MTU FURAH ILA..........kauzu flan akiwa nje ya keyboard
Ahsante sana na kweli nami huwa naamini siku zote jf ni watu na watu wenyewe ndio sisi.hapo kwa The List umenikuna koo mnooo Jamaa ana akili nyingi mnooo ila anapenda kuficha uwezo wake alionao hahaaa anamisimamo Yale nahapndi kuyumbishwa na mtu
though nafurahishwa na uwepo wa Witnes
emmyta
Shunie
Jolie Jolie
Demiss
Avatar mok
Mwifwa
Mr Miller
Nalendwa genius girl
BAK
NAHUJA
kapeace
mahondaw wewe nimekuweka tu hapa lakini na kumind ile mbaya maana sio kwa kumpaka Rangi smart kiasi Kile
list nikubwa kwakweli but nawakubali wengi mnooo. nakinachonifnya niwakubali nimichango yao wanayoitoa kimawazo inayosaidia kuifnya jf izidi kuwa na umri mrefu"" tabia zao nikupenda kwao kuwa active JF kila wakati "" nashindwa kuelezea sifa ya kila mtu mmoja mmoja kwa sbabu list nikubwa nahisi nikianza kuelezea hapa nitajikuta nime type MWANANCHI GAZETI
ASANTE BOSSAhsante sana na kweli nami huwa naamini siku zote jf ni watu na watu wenyewe ndio sisi.
Ubarikiwe sana Kaka ake kwa kuuona uwepo wa Emmy jf una manufaa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Karibu sana Kaka ake.ASANTE BOSS
Hahahaaaaaaaa mi nataka anitumie mpesa tu wala sitaki kumchuna sanaUnataka kuvolunteer? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akituma mpesa wala unakua hujamchuna [emoji23][emoji23]Hahahaaaaaaaa mi nataka anitumie mpesa tu wala sitaki kumchuna sana
Hahahhaaaaa jamani si nitamdanganya danganya nitamuita baby zile za uongoAkituma mpesa wala unakua hujamchuna [emoji23][emoji23]
Dada Emmy hearly ni mwanaume au mwanamkeAhsante sana na kweli nami huwa naamini siku zote jf ni watu na watu wenyewe ndio sisi.
Ubarikiwe sana Kaka ake kwa kuuona uwepo wa Emmy jf una manufaa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ahsalam aleykumKubashiri ID fake na uhalisia ni changamoto kubwa sana...
Unaweza kubashiri hivi lakini kiuhalisia ni tofauti kabisa...
Hizi ID fake zinaficha mambo mengi kiukweli.
(Naomba niishie hapa tafadhali)
Usijali mamaa kwa hilo Kama upo Dar jioni tuonane Kariakoo.Hahahaaaaaaaa mi nataka anitumie mpesa tu wala sitaki kumchuna sana
Hamna uhalisia wowoteHiyo mood uliyotumia kuandika comment ni kama hiyo kwenye avatar
Kuna nini huko tena!Usijali mamaa kwa hilo Kama upo Dar jioni tuonane Kariakoo.
Sitaki nikurushie mpesa kuwafaidisha watu wa mitandao ...nataka nije nikupe mkononi kama laki moja ya soda.Kuna nini huko tena!