Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
Kha![emoji1] kumbe hoja zoote hizo ni sababu ya yule mlozi hahaha...hafi mtu hapa.Vita yako na Mshana. Ukifa nitaishi na nani mimi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kha![emoji1] kumbe hoja zoote hizo ni sababu ya yule mlozi hahaha...hafi mtu hapa.Vita yako na Mshana. Ukifa nitaishi na nani mimi sasa?
hahaaas jamaa umeliokota dodo lililo lala mchangani[emoji126][emoji126][emoji126][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji4][emoji4]
Umemmiss eeh. [emoji23][emoji23][emoji23]Ivi money penny yu wapi jaman?
Halafu unagombania mwanamke nakuangalia tu.Kha![emoji1] kumbe hoja zoote hizo ni sababu ya yule mlozi hahaha...hafi mtu hapa.
Mapenzi jamani yamemdondokea.hahaaas jamaa umeliokota dodo lililo lala mchangani
wewe Jamaa uliishi Europe nini ...hahaaa yaani hata kigagula haujui ..kigagula(uchawi)Kigagula ndio nn hearly?
Asantehahaaas jamaa umeliokota dodo lililo lala mchangani
haswaaa ...Mapenzi jamani yamemdondokea.
mwanamke gani tenaa?[emoji32]Halafu unagombania mwanamke nakuangalia tu.
Hapana, kiswahili hicho cha wapii sijawai kusikia mmwewe Jamaa uliishi Europe nini ...hahaaa yaani hata kigagula haujui ..kigagula(uchawi)
Kwahyo uchawi unamisamiati mingi maana jana pia mlikua mnasema ulozi [emoji20]wewe Jamaa uliishi Europe nini ...hahaaa yaani hata kigagula haujui ..kigagula(uchawi)
nikama unavyoiona Pesa tu mkuu. nikitu ambacho kinautajiri wa misamiati "" Pesa (fedha) hela .mkwanja .mshiko .etcKwahyo uchawi unamisamiati mingi maana jana pia mlikua mnasema ulozi [emoji20]
hahaa mkuu wewe c unesoma international school hiyo misamiati huwezi kuipata huko ktika hizo shule zenu aisee...Hapana, kiswahili hicho cha wapii sijawai kusikia mm
Unapitwaa kuleee wewehahaaas jamaa umeliokota dodo lililo lala mchangani
Jitukane mwenyewe Demiss. Nyani Ngabu kaniacha niko zangu na Mr Miller sasa hivi.
Usimuache bhn mtt mzur unaona haters wanavyokuzingua unamiliki totoNimekuacha lini mama naniliu?
Huwa siachagi kabla sijatafuna.....wink wink!
Usimuache bhn mtt mzur unaona haters wanavyokuzingua unamiliki toto
Tabia zako hawajazimaliza, nimesikitika Sana, watu kumbe hawakujui.Unapitwaa kuleee wewe
Unaemgombea na Mshanamwanamke gani tenaa?[emoji32]
[emoji20][emoji20]Usimuache bhn mtt mzur unaona haters wanavyokuzingua unamiliki toto