Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Bashiri mtu/watu kwa mujibu wa thread zake jinsi alivyo.

Habari za majukumu wakubwa na wadogo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

* Ushimen: ni mtu wa kawaida hapendi kujaa hasira sana.
* Mshana Jr: huyu nilishakunywa nae soda sina haja ya kubashiri.
* @Bujibuji: hapendi kucheka cheka lakini hata hivyo hana hasira za karibu mpaka umkere.

* Daby: hapendi kukera ila ukimkera uvumilivu hana anaweza kukuvuruga mbavu.
* Kasie: huyu mama ni mzee lakini anapenda sifa sifa ukimsifia umemdaka.
Gentamycine: hana shida na mtu anapenda kuficha hasira zake lakini zenyewe zinafika kipindi zinamzidia.
Shunie: ni mcheshi mcheshi kidogo sio sana na pia hana tabia ya kuzira ovyo ila anaweza kukupeleka kuzimu ukipitiliza.
Emmyta: Ana wivu sana sema anaficha kidogo ila anaweza kukuuwa kwa wivu.

Wangu ni hao kama unawajua wengine ongezea...
 
THE BOLD ana uwezo mkubwa sana wa kupangilia mambo kutoka vyqnzo mbalimbali..huyu akifa maskini ni ujinga wake mwenyewe,MSHANA ana uwezo mkubwa na ni mfuatialiaji wa mambo kifupi mtu wa kujifunza,nyani ngadu huyu ana uwezo wa kupembua mambo na faiza foxy ni akili kubwa
 
Back
Top Bottom