[Bashiri]: Sam Mahela kumfuata Godwin Gondwe

[Bashiri]: Sam Mahela kumfuata Godwin Gondwe

Mi nabeti Dida Shaibu na bonge wa clouds
 
Kufuatia huyu Kaka'etu aliyepata heshima kubwa sana kwenye tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini kupitia IPP Media,

Ambaye pia ni mwalimu wa fani hiyo Chuo Kikuu cha Tumaini kampasi ya Dar es Salaam,
mwenye elimu ya kiwango cha master's degree kwenye Mawasiliano ya Umma,

Pia ni nguli wa voice over kwenye matangazo mbalimbali yakiwemo ya kampuni ya simu ya Airtel
wa kuitwa #Godwin_Gondwe (G.G),

Ambaye historia yake inabainisha kuwa alishawahi kuwa muhudumu wa grocery(enzi hizo),
na kuwa mfanya usafi wa vyoo (hospitali ya Bugando huko Mwanza )
kabla ya kuingia kwenye tasnia ya habari
Kuteulia kuwa mkuu wa wilaya ya Handeni, Tanga,

(Ingawa yeye si mwanahabari wa kwanza kuteuliwa nafasi kama hiyo)
Nimeamua KUBETI(kubashiri) kuwa na huyu Kaka'etu mwingine huyu wa ITV wa kipindi cha #DAKIKA_45 huyu wa kuitwa #Sam_Mahela
muda si mrefu anaweza kuja kufikiriwa kwenye kitengo fulani nyeti sometime to come.

ANGALIZO:
Hapa mimi NIMEBETI(nimebashiri) kwa mtazamo wangu tu
kama mwananchi wa kawaida,
Bashiri hii wala haiendani na uhalisia au mikakati yoyote.

_____
Kwa mantiki hii
hata huyu kaka'angu #Adam_Mchomvu huyu naye akiamua kukaza
Wakubwa wanaweza 'kumwona' au japo kumfikiria kwenye baadhi ya kada kwa mbaaaaaaaaliiiiiii!!!!!.

NIMEMALIZA!

is he good in trading information? did he have lead from dikteta uchwara adminstration?

if yes nacopy mkeka wako
 
Kitu Adam Mchomvu, huyu wampe mkoa kabisaa
 
Soudy brown na Kwisa hawa ni kipenzi cha mkulu nadhani anawafikiria mmoja wao anaweza kuwa mkuu wa mkoa wa dsm maana Kangi alishaanza kumpunguzia ulinzi DAB.
 
Kitakachomwangusha mahela ni mkorogo,mwanaume anayejiamini hawezi kujichubua ngozi yake,ujinga mtupu!
 
Buhohela yuko wapi?
Buhohela yuko ikulu, ameajiriwa mara baada ya kufanya kazi nzuri ya kumnadi Dr.Magufuli(kumripotia ITV) wakati ule wa kampeni kwenye uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Kitakachomwangusha mahela ni mkorogo,mwanaume anayejiamini hawezi kujichubua ngozi yake,ujinga mtupu!
Nadhani hiyo ni set back, anatakiwa kusaidiwa na yupo extreme kwenye some of issues.
 
mahela chakula ya wana... labda kama kuna mkuu wa mcc anakula atapewa tuu. bwabwa
 
Back
Top Bottom