Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

Humu hutawaona mashabiki wa yanga,wenyewe wanaamini mchezo wa mpira wa miguu una matokeo matatu,na mpira ni dk90,wanaoenda na matokeo yao mfukoni wanajulikana na mala zote huchabangwa. Jumamosi nawatahadharisha msing`oe viti ndugu zangu.
 
Nimeona K anafunga Goli moja Na
Linadumu Hadi mwisho
 
Mechi itakuwa kali dkk 20 za mwanzo na Simba wanaweza kuanza kufunga mechi ikaisha droo moja moja, ila ikianza kufunga Yanga kutakuwa na mvua ya magoli kama 6. Namuona Mzize akiwaka sana na kusababisha penati mbili, Simba watacheza pungufu kwa red card ya beki mmoja
 
Bila kupepesa macho

Mnyama anakula chuma 7-0

Watakimbiana, bakora zitapigwa Msimbazi kwa wiki nzima
 
Back
Top Bottom