Ajax nao wa kuogopwa?Timu yangu Man United naomba iepuke timu tatu tu,Barca,City na Ajax...waliobakia tutapambana nao kiume
Sent using Jamii Forums mobile app
Man u kapita JUVE PSG..Yaan man u wakikutana na man city naona kabisa man city akitembea nusu fainali
Mpaka sasa sijaona timu ya kumzuia liverpool kuchukua uefa
Liver kapita mikono ya wanaume, psg, buyern daaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aina flani ya soka timu ikicheza ni ngumu sana Man Utd kucheza nao,soka ya kumiliki mpira,tulisumbuliwa hadi na Real Betis sembuse Ajax
Hivi hao sio wauni waliojifanya uefa director.Barca vs Man City
Juve vs Porto
Man u vs Tort
Liver vs Ajax
,,,,,kwa taarifa iliyovuja robo fainali iko hvo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna maajabu,maajabu Mara paap Barcelona Vs Simba Sc hayo ndio maajabu
[emoji23][emoji23][emoji23]Timu yangu Man United naomba iepuke timu tatu tu,Barca,City na Ajax...waliobakia tutapambana nao kiume
Sent using Jamii Forums mobile app