Bashiri yangu ya mechi za robo fainali ya UEFA itafyokua

Bashiri yangu ya mechi za robo fainali ya UEFA itafyokua

Nahisi itakuwa ivi;

Barca vs Porto (Barca anaepushwa na mchakamchaka kwanza)
Juve vs Totenham ( Anategemewa apite Juve)

UEFA wanapenda kutoa anaother chance for revenge kama ivi;

Liverpool vs Man city ( Hawa wana kumbukumbu ya walivokutana UEFA - halafu itakuwa a very interesting match)
Man united vs Ajax ( Hawa wana kumbukumbu ya walivokutana Europa - halafu itakuwa a very interesting match)
 
Mi binafsi naona itakuwa hivi..
BARCA VS JUVE
MAN U VS AJAX
PORTO VS TOT
LIVER VS MAN CITY..
MECHI ZITAKUWA ZA MCHAKAMCHAKA TUPU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muda wa man u kuonesha ubabe mwingine tena baada ya kumtoa psg
IMG-20190315-WA0007.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom