Bashiru afanya ziara ya kushtukiza mnada wa Igunga akuta walinzi hawalipwi

Bashiru afanya ziara ya kushtukiza mnada wa Igunga akuta walinzi hawalipwi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.


 
Hahaha bashiru kwenye maigizo mweupe sana.

Eti unalipwa mbona una mashaka hahahahahah.

Magu njoo uone wahuni uliotuletea.
 
Mvumilivu hula mbivu
Bashiru alifanya jambo la maana sana kukaa kimya muda wote ule, haya leo ni waziri
Hata marehemu angekaa kimya angepata ulaji, lakini kamdomo kamemfanya atangulie mbinguni kabla ya muda.
 
Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.


waziri katoka DODOMA kwa gari ya serikali bila shaka alilipwa posho yeye na wasaidizi wake. kafika Tabora, katembelea mnada inakuaje ZIARA YA KUSTUKIZA?
Tuache uchawa kwa maendeleo ya nchi yetu
japo RAISI WAKE MUAJI
 
Mvumilivu hula mbivu
Bashiru alifanya jambo la maana sana kukaa kimya muda wote ule, haya leo ni waziri
Hata wewe ulikaribia kuwa waziri sema Comments na post zako humu zimekuangusha
 
Back
Top Bottom