Alishawahi kua katibu mkuu kiongoziDuh huyu jamaa n waziri?
Bc sawa 😂
Hata marehemu angekaa kimya angepata ulaji, lakini kamdomo kamemfanya atangulie mbinguni kabla ya muda.Mvumilivu hula mbivu
Bashiru alifanya jambo la maana sana kukaa kimya muda wote ule, haya leo ni waziri
waziri katoka DODOMA kwa gari ya serikali bila shaka alilipwa posho yeye na wasaidizi wake. kafika Tabora, katembelea mnada inakuaje ZIARA YA KUSTUKIZA?Akiwa safarini kuelekea mkoani Singida, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Bashiru Ally amefanya ziara ya kushtukiza kwenye mnada wa mifugo wa Igunga mkoani Tabora ambapo amebaini changamoto ya aliyekuwa mzabuni wa mnada huo kwa upande wa ulinzi kampuni ya Emma Security kutowalipa wafanyakazi wake.
Hata wewe ulikaribia kuwa waziri sema Comments na post zako humu zimekuangushaMvumilivu hula mbivu
Bashiru alifanya jambo la maana sana kukaa kimya muda wote ule, haya leo ni waziri
Muda huongea
Unamaanisha hata Bashe, Nape, Dr. Tulia wakikaa kimya wanaweza kukumbukwa?Mvumilivu hula mbivu
Bashiru alifanya jambo la maana sana kukaa kimya muda wote ule, haya leo ni waziri