Bashiru alimkosea Mungu alipoteuliwa akakubali uteuzi, wanaoendelea kumteua wanamfanya azidi kutenda dhambi

Bashiru alimkosea Mungu alipoteuliwa akakubali uteuzi, wanaoendelea kumteua wanamfanya azidi kutenda dhambi

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Kitendo Cha msomi na mdogo wangu Bashiru kukubali uteuzi wa KMK nikitendo chakumdhiaki Mungu lakini ni ishara ya kiongozi asiyefaa kupewa madaraka makubwa Wala madago kwani aamini na atendi kinachotoka moyoni mwake.

Huyu ndugu yetu ametioka mbali na hii tabia, msimamo wake wakati wa katiba uliyumba pale tu JPM alipoteuliwa kugombea urais 2015. Alianza kuondoka kwenye kile alichokiamini nakuanza kumnadi mgombea huku akijitanabaisha Kama mchambuzi asiyefungamana na chama chochote akiwa anafanya kazi aliyofanya Benson Bana....ikumbukwe Hawa wote ni wasomi, waalimu na wanakagera....ishomiree

Walipopata uteuzi mmoja alitulia (Bana) lakini Bashiru alitoa kauli mbili za kikatili na zisizo na uzalendo ndani yake. Kwanza alituambia adharani kwamba Tanzania haitegemei uchaguzi au mfumo wa kidemokrasia wakubadilishana madaraka bali inategemea dola. Akimaanisha chama anachokiongoza kinategemea na kitaendelea kutegemea dola kubaki madarakani. Hii nikauli inayokinzana na katiba na sheria za nchi. Lakini kauli hii aliitekeleza kwa vitendo kwa kununua wapinzani kwa rushwa ya madaraka na rushwa ya fedha kisha aliitumia kauli hii kuakikisha wanatumia dola kuvuruga uchaguzi nakupata wabunge zaidi ya asilimia 80.

Kauli ya pili nikutamka adharani kwa hatokubali nafasi yoyote ya uteuzi...siku chache zilizopita alipoteuliwa Katibu Mkuu Kiongozi hakukataa na Wala kwenye hotuba yake akutuambia alikataa akalazimishwa bali alikubali na kumshukuru Mteua na Mwenyenzi Mungu...hii ni kumkosea Mungu. Alipaswa kutubu Kwanza kabla yakukubali uteuzi, alipaswa kutamka kujutia kauli zake. Leo pia maeteuliwa ajakataa, maana yake anachokisema na anachotekeleza nitofauti.

Lakini pia alituaminisha kwamba cheo kimoja mtu mmoja, Leo hii yeye. anavyeo vingapi?

Lakini pia kwa wanaoteua, tusiwafanye watu wakatenda dhambi. Mtu akitamka Jambo adharani tukamsikia tulisimamie. Natumai kwa namna mbadilishano wa madaraka ulivyo kesho pia atateuliwa kwa nafasi ya Uwaziri na atokataa....

Watu Hawa kuwapa madaraka nikuwafanya waliopo chini yao wasiwe na misimamo na wajifanyie wanavyotaka.
 
This is not a big deal....umeamua kufuata mkumbo bila kufikiria

Unahisi ni rahisi kukataa uteuzi wa RAIS????

Unajua ukiteuliwa ni taifa linakupa majukumu na sio matamanio au wishes zako???

Bushiri kawa sehemu ya watu kutafuta wanamalizia wapi hasira zao, justifications, dissappointments, na mshtuko wa Mama Samia kwenda nje ya mipango yenu

Mungu huyu huwa tunajiapiza sana vitu na kwenda kinyume...wako mpaka wanaojiapiza wakizini wafe, hawafi...wanajiapiza hawarudii pombe wanakunywa..

Acha ujinga huu wa ku evaluate maisha ya watu na coincidences


After all kama una akili za kawaida kabisa sio za kuvukia reli, kati ya KMK na MB ipi inalipa sana kifedha?
 
Ametoa pia wazo la kuomba radhi hadharani ndiyo akubali kuapa kwa nafasi aliyopewa kwa kuwa aliwahi kuapa hadharani kutokubali teuzi yoyote
 
Bashiru Atubu Haraka Kama Alivyoambiwa Bwana Yule Wa Kumpa Mtoto Yai Halafu Bado Analia Unamzaba Kofi,Ataubugia


Unampa Uji Analia Na Kutupa Kikombe Huko Ujue Mtoto Ana Kiburi Huyo 😃😂😁

JPM
Apumzike Kwa Amani
Tutamkumbuka Sana
 
Bado hajajua makosa yake
IMG-20210401-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom