Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana kitu kichwani?