Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana kitu kichwani?
Hivi kwenye siasa unadhani yeye na Mnyika nani ana-perform zaidi? Kuna theories (mostly outdated former Russian and Chinese political theories kwa case ya Bashiru) na practicals (fieldwork kwa case ya Mnyika) who performs better? In short, Bashiru hajui siasa acheni kumpa promo asiyostahili.Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana kitu kichwani?
Watu wana akili nyingi tu. Kinachowaharibia ni kutanguliza tumbo mbele.Huyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana kitu kichwani?
Wewe si comrade wake kamuulizeHuyu so mwingine ni a Bashiru Ali kakulwa. Huyu bwana Hana kitu kichwani kabisa sijui ile GPA aliipataje labda alivua Pichu au alikalili tu.
Yeye anajua kufokafoka tu Hana ushawishi kabisa.
Hivi ile shule ya uongozi waliyoianzisha na polepole imeishia wapi, au ndo dhana ile ile kwamba hawana kitu kichwani?