K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 9,780 Reaction score 15,488 Oct 8, 2025 #1 Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu> Ni matambiko hayo. Wote walio kuwa kwenye uongozi wa Magufuli na walihusika kunyanyasa watu kwa njia yeyote wataondoka. Sasa wanaofuatilia ni Polepole, Bashiru, Makonda na Mama Samia wote wataondoka miaka michache ijayo kwa mazingira tofauti Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu: Ni matambiko wote hawa wataondoana wenyewe namba zao zote zimeitwa tuwaombee. Kuwa watu waliotoa nuksi kwa matambiko yao na yatatimia
Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu> Ni matambiko hayo. Wote walio kuwa kwenye uongozi wa Magufuli na walihusika kunyanyasa watu kwa njia yeyote wataondoka. Sasa wanaofuatilia ni Polepole, Bashiru, Makonda na Mama Samia wote wataondoka miaka michache ijayo kwa mazingira tofauti Bashiru Ally na Samia nao wapo njia hiyo hiyo ya Magu: Ni matambiko wote hawa wataondoana wenyewe namba zao zote zimeitwa tuwaombee. Kuwa watu waliotoa nuksi kwa matambiko yao na yatatimia
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 8, 2025 #2 Acheni mikwara, kila mtu atakufa na inawezekana mtoa mada utakufa kabla ya hao uliowataja
K KARLO MWILAPWA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2019 Posts 3,250 Reaction score 5,509 Oct 9, 2025 #3 Kuna ndoto niliota juu ya Dkt.Bashiru ,niliona ndiye ajaye katika Jamhuri na mpaka nikaandika Uzi. Huyu mtu asibezwe
Kuna ndoto niliota juu ya Dkt.Bashiru ,niliona ndiye ajaye katika Jamhuri na mpaka nikaandika Uzi. Huyu mtu asibezwe
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,371 Reaction score 28,790 Oct 9, 2025 #4 Mbaga Jr said: Acheni mikwara, kila mtu atakufa na inawezekana mtoa mada utakufa kabla ya hao uliowataja Click to expand... Uzuri anaaema hata ikiwa hivyo yeye sio drone wala drone ya mtu.
Mbaga Jr said: Acheni mikwara, kila mtu atakufa na inawezekana mtoa mada utakufa kabla ya hao uliowataja Click to expand... Uzuri anaaema hata ikiwa hivyo yeye sio drone wala drone ya mtu.