MABATI YA SUNBAK TANZANIA
JF-Expert Member
- Jan 10, 2025
- 217
- 577
Bashiru Ally, wewe ndo uliharibu wewe ndo muhasisi wa siasa za kupita bila kupingwa.
Bashiru Ally, Ndugai na Polepole walishiriki kwa kiwango kikubwa kuharibu demokrasia ya nchi hii ili kumfurahisha MagufuliBashiru Ally, wewe ndo uliharibu wewe ndo muhasisi wa siasa za kupita bila kupingwa.
Sio kwa kiwango cha utawala wa dhalimu magu.Kupita bila kupingwa haijaanza leo,Habib Jamal aliyekuwa waziri wa fedha enzi za TANU alikuwa mbunge huko Morogoro bila kupingwa hadi anastaafu.
Deric Bryson Waziri wa Utalii serikali ya Nyerere na mbunge wa Kinondoni alipita bila kupingwa hadi anafariki.
Walimwomba mwanae avae viatu hivyo ila mtoto wake alikataa.
Wapo wengi nadhani Iringa kulikuwa na Chief Adam Sapi Mkwawa,
Alihasisi kiaje?Bashiru Ally, wewe ndo uliharibu wewe ndo muhasisi wa siasa za kupita bila kupingwa.
Siasa hizo muasisi wake ni mmililiki wa Timu ya Singida.Hao ndio waasisi wa siasa za chuki kupotezana na kuuana na legacy waliotuachia ndio hii watu bado wanatekwa na kupotezwa.
Naona unajisahaulisha yaliyompata Chacha Wangwe baada ya kutia nia ya kugombea uenyekiti!Hao ndio waasisi wa siasa za chuki kupotezana na kuuana na legacy waliotuachia ndio hii watu bado wanatekwa na kupotezwa.
Kama ambavyo akina Ridhiwani wanavyotegemea mzanzibari atawabeba na kuwarithisha ikulu.Alitegemewa siku moja huo mfumo umbebe hakujua ya kesho hayapangwi leo.
Mpuuzi sana! Sijui limetoka wapi?Huyu mzee ni mshenzi sn katuharibia nchi
Bashiru Ally, Ndugai na Polepole walishiriki kwa kiwango kikubwa kuharibu demokrasia ya nchi hii