Akizungumza katika mahojiano maalum yaliyorushwa na DW leo Julai 24, 2026, Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Bashiru Ally, amesema kuwa nafasi ya Ukatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni kazi yenye uzito mkubwa na iliyobeba changamoto nyingi, hususan wakati wa kuratibu masuala ya uchaguzi na mchakato wa kuwapata wagombea, ingawa hajawahi kujutia kutumikia nafasi hiyo ya heshima.
Aidha amekanusha madai ya kwamba aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha wananchi (CUF) kabla ya kujiunga na CCM na kwamba hajawai kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya CCM
Aidha amekanusha madai ya kwamba aliwahi kuwa mwanachama wa chama cha wananchi (CUF) kabla ya kujiunga na CCM na kwamba hajawai kuwa mwanachama wa chama chochote zaidi ya CCM