Bashiru anafaa kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA. Ufipa changamkeni

Unamaanisha CHADEMA hakuna mtu awezae kugombea nafasi hii ...!! Mbona wanifikilisha mengi ?
We nae popoma, unafikirishwa na huyu kitunguu swaumu.

Don't reveal your stupidity publicly
 
Shindwa Pepopunda!!
 
Bashiru hana hela kama Lowasa.
 
lumumba badala ya kumuweka awe mgombea wenu huko lumumba mmebaki na upoyoyo wenu halafu mnategemea aje ashindane na lissu hahahaaa vichaa wa lumumba hamtaisha.
 
Wanaofaa hawana nguvu kisiasa na wenye nguvu kisiasa wana elimu duni. Lissu angefaa tatizo ana jazba na hana haiba ya urais. Mbowe kugombea itakuwa ngumu kwasababu yeye kama mmiliki wa chama itamletea shida kibiashara.
chama chenu cha ccm mmiliki mamayenu amewaagiza machawa wake mumpinge bashiru ili kisimfie .
 
Muhafidhina wa ujamaa huyo Kwa dunia ya sasa akafundishe theories za kina MAO TSE Tung na Karl Marx tu......
 
Kwa maana hiyo hawana mgombea hadi wasubiri Dr Bashiru afukuzwe
 
Huchoki huu umalaya wako kutwa kucha wewe na Chadema tu huko CCM hakuna wanaume wa kushusha hilo joto lako?
 
Wanaofaa hawana nguvu kisiasa na wenye nguvu kisiasa wana elimu duni. Lissu angefaa tatizo ana jazba na hana haiba ya urais. Mbowe kugombea itakuwa ngumu kwasababu yeye kama mmiliki wa chama itamletea shida kibiashara.
Unamdhalilisha Rais Samia kwa kutumia jina lake na picha yake huku unajitungia post za kimalayamalaya na mods nao wanaona sawa Rais kudhalilishwa namna hii.
 
Mzee wa Kino si unaona mitandaoni karibu makada wote maarufu wa CHADEMA wanapost kuhusu Bashiru bila kujua wanacheza ngoma ya CCM? Sisi wengine tunapost kuwaongezea agenda
Wewe kahaba hakuna Chadema wa kumuunga mkono huyu Mhutu aliyeshirikiana na Magufuli kuiba kura na kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi wa Serikali za mitaa na uchaguzi mkuu uliopita. Sisi tunachofanya ni kuchochea kuni ili muuane kabisa malaya wakubwa nyie huko CCM.
 
Ulishampikia mmeo?
 
Huyu huyu aliyeshirikiana na Jiwe kuteka na kuwamaliza wanachama wa chadema au Bashiru mwingine ?
 
Mama hana mpinzani 2025
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…