Dr Bashiru Yupo sahihi 100%🔥Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, amesema hakuna chama chochote cha siasa duniani kinachoweza kuzuia au kuepuka kuwa na udhaifu au kufanya makosa, lakini kikubwa ni namna kinavyobeba dhamana ya umma.
Ameongeza kuwa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni chombo cha kisera kinachotumika kujinadi kama chama, kuomba kukubalika kisiasa, na kuhakikisha kabisa kwamba ilani hiyo inaleta mabadiliko katika maisha ya watu, na kuwa CCM ikekuwa ikiaminika kwa muda mrefu kutokana na sera zake.
"Nadhani kwa muda mrefu, chama kimeaminika kutokana na kuuza hiyo sera na kuitekeleza. Lakini, kama ilivyo taasisi yoyote, si chama kilichokamilika. Ni taasisi ambayo inaendelea kubadilika, inaendelea kukosolewa, na inaendelea kujisahihisha kama kilivyo chama chochote cha siasa mahala popote duniani.
Chama chochote cha siasa hakiwezi kuepuka makosa, hakiwezi kukosa udhaifu, lakini kwa kiwango kikubwa ni chama ambacho bado kimebeba matumaini ya Watanzania walio wengi. Ni chama ambacho bado kinaaminika na Watanzania walio wengi, lakini chama ambacho kinalazimika kujiboresha na kujisahihisha kadri jamii inavyobadilika."- Amesema Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze
Huyu alishakatwa mkia siku nyingi. Nadhani Bashiru OG akikutana nahuyu asie na mkia sio tu watagombana Bali watakataana.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, amesema hakuna chama chochote cha siasa duniani kinachoweza kuzuia au kuepuka kuwa na udhaifu au kufanya makosa, lakini kikubwa ni namna kinavyobeba dhamana ya umma.
Ameongeza kuwa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni chombo cha kisera kinachotumika kujinadi kama chama, kuomba kukubalika kisiasa, na kuhakikisha kabisa kwamba ilani hiyo inaleta mabadiliko katika maisha ya watu, na kuwa CCM ikekuwa ikiaminika kwa muda mrefu kutokana na sera zake.
"Nadhani kwa muda mrefu, chama kimeaminika kutokana na kuuza hiyo sera na kuitekeleza. Lakini, kama ilivyo taasisi yoyote, si chama kilichokamilika. Ni taasisi ambayo inaendelea kubadilika, inaendelea kukosolewa, na inaendelea kujisahihisha kama kilivyo chama chochote cha siasa mahala popote duniani.
Chama chochote cha siasa hakiwezi kuepuka makosa, hakiwezi kukosa udhaifu, lakini kwa kiwango kikubwa ni chama ambacho bado kimebeba matumaini ya Watanzania walio wengi. Ni chama ambacho bado kinaaminika na Watanzania walio wengi, lakini chama ambacho kinalazimika kujiboresha na kujisahihisha kadri jamii inavyobadilika."- Amesema Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze
CCm pekee ndiye anayeiamini ccm na sii watanzania.Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, amesema hakuna chama chochote cha siasa duniani kinachoweza kuzuia au kuepuka kuwa na udhaifu au kufanya makosa, lakini kikubwa ni namna kinavyobeba dhamana ya umma.
Ameongeza kuwa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni chombo cha kisera kinachotumika kujinadi kama chama, kuomba kukubalika kisiasa, na kuhakikisha kabisa kwamba ilani hiyo inaleta mabadiliko katika maisha ya watu, na kuwa CCM ikekuwa ikiaminika kwa muda mrefu kutokana na sera zake.
"Nadhani kwa muda mrefu, chama kimeaminika kutokana na kuuza hiyo sera na kuitekeleza. Lakini, kama ilivyo taasisi yoyote, si chama kilichokamilika. Ni taasisi ambayo inaendelea kubadilika, inaendelea kukosolewa, na inaendelea kujisahihisha kama kilivyo chama chochote cha siasa mahala popote duniani.
Chama chochote cha siasa hakiwezi kuepuka makosa, hakiwezi kukosa udhaifu, lakini kwa kiwango kikubwa ni chama ambacho bado kimebeba matumaini ya Watanzania walio wengi. Ni chama ambacho bado kinaaminika na Watanzania walio wengi, lakini chama ambacho kinalazimika kujiboresha na kujisahihisha kadri jamii inavyobadilika."- Amesema Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze
Anaongea ukweli kwa fedheha, huku akijaribu kudogosha kuchokwa kwa ccm na umma. Tunataka uchaguzi huru na wa haki ili ukweli wa umma kuwachoka uwe wazi. Lakini kutumia bunduki kulazimisha kubaki madaraka hakuwabebi.Sahihi kabisa hivi vyama vya Mitandaoni bado vina safari ndefu sana
Mnataka Mzee wa watu aishi kama digi digi, Wakati utafika atazungumza tuHuyu mpumbavu Polepole katekwa yeye yuko kimya hana credibility yoyote ya kuzungumzia CCM maana misingi ya CCM na kuanzishwa kwake ni kusema ukweli daima yuko anabwabwaja wakati Polepole katekwa pumbavu kabisa
Pia ndio alikuwa Msimamizi mkuu wa pukushani zote za kuua na kubagaza Upinzani nyakati zile GIZA phase I...MaliyaMungu wa Jiwe..Mjinga kabisaHuyu mpumbavu Polepole katekwa yeye yuko kimya hana credibility yoyote ya kuzungumzia CCM maana misingi ya CCM na kuanzishwa kwake ni kusema ukweli daima yuko anabwabwaja wakati Polepole katekwa pumbavu kabisa
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, amesema hakuna chama chochote cha siasa duniani kinachoweza kuzuia au kuepuka kuwa na udhaifu au kufanya makosa, lakini kikubwa ni namna kinavyobeba dhamana ya umma.
Ameongeza kuwa ilani ya Chama Cha Mapinduzi ni chombo cha kisera kinachotumika kujinadi kama chama, kuomba kukubalika kisiasa, na kuhakikisha kabisa kwamba ilani hiyo inaleta mabadiliko katika maisha ya watu, na kuwa CCM ikekuwa ikiaminika kwa muda mrefu kutokana na sera zake.
"Nadhani kwa muda mrefu, chama kimeaminika kutokana na kuuza hiyo sera na kuitekeleza. Lakini, kama ilivyo taasisi yoyote, si chama kilichokamilika. Ni taasisi ambayo inaendelea kubadilika, inaendelea kukosolewa, na inaendelea kujisahihisha kama kilivyo chama chochote cha siasa mahala popote duniani.
Chama chochote cha siasa hakiwezi kuepuka makosa, hakiwezi kukosa udhaifu, lakini kwa kiwango kikubwa ni chama ambacho bado kimebeba matumaini ya Watanzania walio wengi. Ni chama ambacho bado kinaaminika na Watanzania walio wengi, lakini chama ambacho kinalazimika kujiboresha na kujisahihisha kadri jamii inavyobadilika."- Amesema Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Bashiru Ally, kwenye mahojiano yaliyorushwa na Nijuze
🍯 tatizo linaanzia hapaCCm pekee ndiye anayeiamini ccm na sii watanzania.