Bashiru: Chama chochote cha siasa hakiwezi kuepuka makosa, CCM bado inaaminika imebeba matumaini ya watanzania

Hebu muondoeni hapo, hastahili kuwekwa humu, yeye na Prof wa kuokotwa jalalani, Prof Kufuata mambo bila kufikiri.
 
Hiyo imani ya Watanzania waliyonayo kwa sasa ni ile lack of alternative iliyotengenezwa kimkakati, waondoe hivyo vikwazo vya kidemokrasia ndio wataona hiyo so called iman inavyopotea kama upepo.
 
Fala kabisa huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…