Bashiru imebaki stori tu

Bashiru alikuwa kama makatibu wakuu wote wa CCM walivyokuwa na watakavyokuwa. Hana tofauti na wengine, namkubali pale alipotilia shaka uwezo wa SSH kuwa Rais. Sikubaliani na Ndugai ila kwenye kuhoji uwezo binafsi wa Rais ni suala la msingi.

Mpaka sasa sioni kama SSH ndio Mtanzania kati ya watu zaidi ya milioni 60 anayefaa kuwa Rais. Katiba iliruhusu vile basi hakuna namna. Kama ni ajira mbona Kikwete alizitoa nyingi ila bado tulimlaumu. Unless tusijue tunataka nini kama taifa
 
Kuna ukweli hapo
 
"Siku ukishatoka hurudi!"

Yametimia alidhani mweny busara pekee ndiye mwenye kauli
 
anajuta bora angebakia na heshima yake pale Chuo, ila kwa sasa hiiii !!!
Bashiru hajuti kutoka Chuo, maana tangu atoke chuo mpaka sasa hivi, ametengeneza hela nyingi kuliko Vice Chancellor yeyote aliye wahi kuongoza Chuo hicho! Na hiyo ni kwa muda mfupi wa miaka 7 tu! Hapa naongelea pesa halali - marupu rupu, kiinua mgongo, na mishahara iliyo ambatana na kazi zake! Pia amepewa heshima kubwa na ulinzi indefinitely - kutokana na kazi na heshima aliyo nayo. Hivyo usijipime kwa Bashiru ana ngekewa ya ajabu - tena bado hajazeeka!
 
Una uhakika??
Kwa sababu aliteuliwa Katibu mkuu kiongozi kabla haijatoka taarifa ya kutenguliwa kama Katibu mkuu wa CCM!
Lini imetoka taarifa ya Daniel Chongolo kutenguliwa uDC?
 
Kuwa na fedha bila kuheshimika katika jamii yako unayoishi ni sawa na kuwa na kitambi bila kuwa na uhakika wa fedha.
 
Kwa jina unalotumia inatosha kabisa kujua ni walewale waendekeza ukabila,
Wachungang'ombe mna kazi sana,
Pole Sana wana Sumve kwa msiba wa msukuma mwenzenu.
Hao ndiyo wanachama wa kundi lao la sukuma gang.
 
Kuwa na fedha bila kuheshimika katika jamii yako unayoishi ni sawa na kuwa na kitambi bila kuwa na uhakika wa fedha.

We fedha huna heshima unayo! Imekusaidia nini?!
Na unataka aheshimike na kina Nani wewe au wana ccm[emoji1787][emoji1787]...
Heshima anayoipata kwa familia yake inatosha
Wewe haya kwa familia yako inawezekana huna
 
Mkuu
Hata kama ni wewe
Ungekaa kimya

Tambua tar 13&14 March 2021 alishiriki kutaka kupindua meza KUU!
Kisheri hio ni uhaini!

Adhabu yake unaijua!!?

Ni kifo!!

ANASUBIRI ni Lini zamu yake itafika!!

SOURCE ;- de'levis humu jamvini!!
 
SSH asifae kuwa rais kwa sababu gani? Sasa hv wapinzani na serikali wanaongea lugha moja ndio tunachotaka sio yale maisha ya kuishi kiuoga uoga kama tupo uhamishoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…