Bashiru imebaki stori tu

Bashiru imebaki stori tu

Kati ya watu wanaoteseka kiakili ni yeye
Jamaa kaporomoka kutoka KM-CCM hadi kuwa mwanachama wakawaida na Kutoka KMK kuwa mbunge wa kuteuliwa.

Stress alizonazo nauhakika 2025 Hagombei ubunge atarudi kushika chaki
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.

View attachment 2252898
Huo ndo mtazamo wa fisiemu wote
 
Jamaa kaporomoka kutoka KM-CCM hadi kuwa mwanachama wakawaida na Kutoka KMK kuwa mbunge wa kuteuliwa.

Stress alizonazo nauhakika 2025 Hagombei ubunge atarudi kushika chaki
Hawezi kushika chaki tena maana walishapiga mpunga wa kufa mtu
 
Dk. Bashiru was one of the strongest Makatibu Wakuu CCM has ever had and worked with one of the strongest Wenyeviiti CCM has ever had!
 
Bashiru alikuwa kama makatibu wakuu wote wa CCM walivyokuwa na watakavyokuwa. Hana tofauti na wengine, namkubali pale alipotilia shaka uwezo wa SSH kuwa Rais. Sikubaliani na Ndugai ila kwenye kuhoji uwezo binafsi wa Rais ni suala la msingi.

Mpaka sasa sioni kama SSH ndio Mtanzania kati ya watu zaidi ya milioni 60 anayefaa kuwa Rais. Katiba iliruhusu vile basi hakuna namna. Kama ni ajira mbona Kikwete alizitoa nyingi ila bado tulimlaumu. Unless tusijue tunataka nini kama taifa
Binafsi mie Ni Chadema Ila SSH amemeacha mbali Sana Jiwe kiutendaji
 
Bashiru alikuwa kama makatibu wakuu wote wa CCM walivyokuwa na watakavyokuwa. Hana tofauti na wengine, namkubali pale alipotilia shaka uwezo wa SSH kuwa Rais. Sikubaliani na Ndugai ila kwenye kuhoji uwezo binafsi wa Rais ni suala la msingi.

Mpaka sasa sioni kama SSH ndio Mtanzania kati ya watu zaidi ya milioni 60 anayefaa kuwa Rais. Katiba iliruhusu vile basi hakuna namna. Kama ni ajira mbona Kikwete alizitoa nyingi ila bado tulimlaumu. Unless tusijue tunataka nini kama taifa
SSH atawatesa Sana hadi ifike 2030 mtakuwa mumepiga mwayo hadi akili ziwakae sawa..

Weka kipimo cha kupimia uwezo wa Rais.
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.

View attachment 2252898
Wewe ni akili kubwa! Asante kwa darasa!
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.

View attachment 2252898
Acha kuteseka mkuu JIWE alikuwa mwamba wa vita na tayari mwendo kashaumaliza hadi sasa anakufanya umtajetaje kila mara. Hata huyo bashiru usifikri ni mbumbu hakuna asichokijuwa ndani ya ccm hadi ikulu . Muache apumzike
 
Hana ajuwalo huyo sukuma gang mwenzenu msaidieni atakata roho kumfuata mteuzi wake
 
Acha kuteseka mkuu JIWE alikuwa mwamba wa vita na tayari mwendo kashaumaliza hadi sasa anakufanya umtajetaje kila mara. Hata huyo bashiru usifikri ni mbumbu hakuna asichokijuwa ndani ya ccm hadi ikulu . Muache apumzike
Unamtetea mushuti mwenzenu
 
Dk. Bashiru was one of the strongest Makatibu Wakuu CCM has ever had and worked with one of the strongest Wenyeviiti CCM has ever had!
Bado upo kwenye ndoto za kitabu cha milima ya kolelo?
 
Back
Top Bottom