Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kaporomoka kutoka KM-CCM hadi kuwa mwanachama wakawaida na Kutoka KMK kuwa mbunge wa kuteuliwa.Kati ya watu wanaoteseka kiakili ni yeye
Huo ndo mtazamo wa fisiemu woteAlitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.
View attachment 2252898
Hawezi kushika chaki tena maana walishapiga mpunga wa kufa mtuJamaa kaporomoka kutoka KM-CCM hadi kuwa mwanachama wakawaida na Kutoka KMK kuwa mbunge wa kuteuliwa.
Stress alizonazo nauhakika 2025 Hagombei ubunge atarudi kushika chaki
Binafsi mie Ni Chadema Ila SSH amemeacha mbali Sana Jiwe kiutendajiBashiru alikuwa kama makatibu wakuu wote wa CCM walivyokuwa na watakavyokuwa. Hana tofauti na wengine, namkubali pale alipotilia shaka uwezo wa SSH kuwa Rais. Sikubaliani na Ndugai ila kwenye kuhoji uwezo binafsi wa Rais ni suala la msingi.
Mpaka sasa sioni kama SSH ndio Mtanzania kati ya watu zaidi ya milioni 60 anayefaa kuwa Rais. Katiba iliruhusu vile basi hakuna namna. Kama ni ajira mbona Kikwete alizitoa nyingi ila bado tulimlaumu. Unless tusijue tunataka nini kama taifa
Muongezee na Mzee Kinanaa hapo!!Kivip Bashiru aliigeuza CCM kuwa mali yake? Hivi ukipitia kauli za Nape na Bashiru nani utaweza kusema huyu anaiona CCM mali yake binafsi?
Sent using Jamii Forums mobile app
SSH atawatesa Sana hadi ifike 2030 mtakuwa mumepiga mwayo hadi akili ziwakae sawa..Bashiru alikuwa kama makatibu wakuu wote wa CCM walivyokuwa na watakavyokuwa. Hana tofauti na wengine, namkubali pale alipotilia shaka uwezo wa SSH kuwa Rais. Sikubaliani na Ndugai ila kwenye kuhoji uwezo binafsi wa Rais ni suala la msingi.
Mpaka sasa sioni kama SSH ndio Mtanzania kati ya watu zaidi ya milioni 60 anayefaa kuwa Rais. Katiba iliruhusu vile basi hakuna namna. Kama ni ajira mbona Kikwete alizitoa nyingi ila bado tulimlaumu. Unless tusijue tunataka nini kama taifa
Wewe ni akili kubwa! Asante kwa darasa!Alitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.
View attachment 2252898
Acha kuteseka mkuu JIWE alikuwa mwamba wa vita na tayari mwendo kashaumaliza hadi sasa anakufanya umtajetaje kila mara. Hata huyo bashiru usifikri ni mbumbu hakuna asichokijuwa ndani ya ccm hadi ikulu . Muache apumzikeAlitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.
View attachment 2252898
Hana ajuwalo huyo sukuma gang mwenzenu msaidieni atakata roho kumfuata mteuzi wakeAcha kuteseka mkuu JIWE alikuwa mwamba wa vita na tayari mwendo kashaumaliza hadi sasa anakufanya umtajetaje kila mara. Hata huyo bashiru usifikri ni mbumbu hakuna asichokijuwa ndani ya ccm hadi ikulu . Muache apumzike
Unamtetea mushuti mwenzenuAcha kuteseka mkuu JIWE alikuwa mwamba wa vita na tayari mwendo kashaumaliza hadi sasa anakufanya umtajetaje kila mara. Hata huyo bashiru usifikri ni mbumbu hakuna asichokijuwa ndani ya ccm hadi ikulu . Muache apumzike
Mwalimu jitahidi sana kwenye punctuation. Unaitwa Mlima Kolelo sio mlima kolelo.Bado upo kwenye ndoto za kitabu cha milima ya kolelo?