Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Kila zama na kitabu chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiwe amewaachia wafuasi wake majonzi makubwa sana.Watwana wa jiwe mna hasira sana this time dadeeeekiiiii
Hata mama/baba yako atakufa ghafla. Usitegemee utasikia kengele kabla ya kifo kama alert.Jiwe amewaachia wafuasi wake majonzi makubwa sana.
Hawakutarajia kama angekufa ghafla hivi.
Mlijua atatawala milele.Hata mama/baba yako atakufa ghafla. Usitegemee utasikia kengele kabla ya kifo kama alert.
WoteKivip Bashiru aliigeuza CCM kuwa mali yake? Hivi ukipitia kauli za Nape na Bashiru nani utaweza kusema huyu anaiona CCM mali yake binafsi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Kiswahili sio kiswahili. We mwalimu unafundishaje watoto kama wewe mwenyewe huelewi?Hili siyo jukwaa la kiswahili
Ahsante.Mlijua atatawala milele.
Poleni sana
Ndio kuimba kupokezana, zamu yake ya kuimba ishapita jiulize wewe mleta mada lini itakuwa zamu yako japo ufikie hatua aliyofikia BashiruKuimba kupokezanaa ...
Uliiba nae sio?Jiwe alikwiiba
Ni Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, ulijue hilo.Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Hata wewe unayejaribu kufurahia anguko la mtu jifunze, utashangaa siku moja anakuongoza huyo, kama ambavyo siku moja utamtegemea mtoto wako ukiwa mzeeAlitamba sana enzi za Jiwe.
Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.
Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.
Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.
Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.
View attachment 2252898
Ha ha ha haaaa! Mbona unakiuka maelezo ya Mwenyekiti wenu wa chama wa kutotumia lugha za kuudhi au umeamia kwa Mwami Ruyagwa? Ha ha ha haaaa ha ha haMwizi kama mwizi na katili kama katili