Bashiru imebaki stori tu

Bashiru imebaki stori tu

Nani atatusaidia kuujua ukweli ulivyokuwa baada JPM kufariki? ...nini kilijiri hasa Bashiru na SG?
kaka hizi ndizo siri za Serikali. Sasa werevu kama sisi aka wazee wa kunusu tunajua nini kilifanyika ule muda wa ugonjwa wa JPM mpaka msiba kutangazwa.
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.View attachment 2252898
Dhambi inamtafuna
 
Atatumia Dola balabara
 
Back
Top Bottom