Bashiru imebaki stori tu

Bashiru imebaki stori tu

Hata hawa waliopo nao watatoka tu ni suala la muda tu, wakilijua hilo haliwafanyi kuacha kutimiza majukumu yao.
Wanatimiza majukumu yao kwa nidhamu na kuheshimu watanzania.
 
Alitamba sana enzi za Jiwe.

Alikuwa anaongea kwa sauti ya mamlaka sana.

Aliigeuza CCM kuwa mali yake na kila aliyekwenda kinyume na atakavyo alimhukumu.

Kuondoka kwa Jiwe ikawa ndiyo mwisho wa kuvuma kwake na Ikulu sasa hivi anaiona tu kupitia TBC.

Tijifunze kuishi na watu vizuri maana hakuna aijuaye kesho yake.

View attachment 2252898
Ni kweli
 
Back
Top Bottom