Uchaguzi 2020 Bashiru: Kuna mtu unakuta ndani ya miaka mitano tu kapata vyeo vikubwa viwili kwa mpigo halafu kabla hajakomaa pale, anataka Ubunge. Sigombei


Soma uone kama nilichoandika kina uongo hata moja sio unakaa kurukia mambo. Ita matusi ila ukweli ni ukweli, akili za kishenzi unazo wewe
 
Soon huyu katibu na mwenzake watanyamazishwa
Kaeni mkao wa kula

Ova
 
Hahahaha aibu kubwa sana hii. Wanamuogopa Makonda utadhani ukoma dadeeeki
Halafu ingekuwa mwingine wangemtaja hadharani Ila huyo wanagugumia tuu kwa maumivu.
Nimeamini Bashite anajua siri kadhaa nzito (au wameshirikiana) hivyo wanaogopa atabwatuka wakienda naye kibabe kama Pompeo alivyo fanya.
Ni wazi hawamtaki sasa lakini wanamuogopa. Ila Bashite ajue katika hali kama hiyo yuko kwenye msitari kati kati one wrong step, tutaimba parapanda
 
Soon huyu katibu na mwenzake watanyamazishwa
Kaeni mkao wa kula

Ova
Kitu kimoja pengine wengi hawajakijua. Bashite anatisha sana ndani ya chama na serikali. Anachukiwa sana na watendaji wote kasoro mteuaji na kachokwa na wote.
Lakini hakuna wa kumsema vikaoni wala hadharani. Ila sasa mteuaji naye kuna kitu kashtuka mtoto habebeki na amegundua hamuhitaji sana huyo mtoto kuliko hawa wengine, amejifunza toka hekaheka za jasusi mbobezi kuwa bila msaada wa hawa viongozi wengine angeweza rudi kijijini kupumzika mapema na mtoto anamkosanisha nao.
Yeye hamuwezi mtoto kesha kuwa kama samaki mkavu hakunjiki anaogopa atamvunja.
Kawatuma Mama mkuu, Bashiru na Polepole waseme wao. Hiyo inaitwa Peleka salamu!
 
Umepwaya njoo tena , WB wanatambua , ADB wamesalute , kubali yaishe .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…