Uchaguzi 2020 Bashiru, Polepole na Kabudi hamna maneno ya kumjenga mgombea wa CCM. Pia mshaurini ya kuongea

Tunashukuru kwa ushauri wako ila tukujuze tu mgombea wetu ashauriki anajiona ana akili kuliko watu wote Tanzania

Sema tangu juzi akilala anaweweseka anatamka maneno mshikeni uyo mshikeni uyo

Tukimhojo tushike nani anajibu Lisu lisu
 
Naona unazungumza kinyume, mshaurini Tundu, sijui la wapi, aache kubwabwaja
Sijaona mahali Tundu anabwabwaja. Shida ni mooja tu, anachosema Lissu ni kile ambacho hamtaki na hampendi kusikia.
Mnachotaka nyie kusikia mapambio ya sifa tu kwa Magu.
Hakuna anayewakataza nyie kusifu, sifuni tena kwa bidii. Na wanaokosoa waacheni wafanye hivyo, mbona mnateseka bure?
 
Pamoja na hayo yote lakini JPM anarudi magogoni

sent from HUAWEI
 
Tathimini yako haiko huru inapotosha. Unless wewe umezaliwa 1990s, kwa tuliokuwepo hizi awamu 5, nakuapia hakuna wa kulingana na JPM katika kutafuta maendeleo ya Tanzania. Siyo mwanasiasa wa kulimiliki jukwaa kama akina Kikwete bali ni mthubutu na hakuna wa kujilinganisha naye. Najua wengi (walofisadi nchi hii) wana kinyongo naye, lakini Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ni uchuro kusema ati mtu unataka maendeleo ya watu si vitu - Hivi huyo mtu anayesema uharo huo ana akili? Maendeleo yanaanzia kwa vitu ndipo watu wanatumia hiyo miundombinu kujiletea maendeleo. Stop cheating people na siasa uchwara zenu
Hujui kitu wewe.Mambo mengine uwe unadanganya mbulula wenzako.
 
Tunashukuru kwa ushauri wako ila tukujuze tu mgombea wetu ashauriki anajiona ana akili kuliko watu wote Tanzania

Sema tangu juzi akilala anaweweseka anatamka maneno mshikeni uyo mshikeni uyo

Tukimhojo tushike nani anajibu Lisu lisu

Kweli kwa vituko hivi? "Wonders shall never end!"

Timu nzima wakiwamo kina chamia, machaliwa, bashiri, mpole mpole na wa aina hiyo, ati kumbe hawakujua kuwa hawakubaliki?!

Japo madaraka hulevya hii mbona itakuwa ni too much!
 
Tathimini yako haiko huru inapotosha. Unless wewe umezaliwa 1990s, kwa tuliokuwepo hizi awamu 5, nakuapia hakuna wa kulingana na JPM katika kutafuta maendeleo ya Tanzania. Siyo mwanasiasa wa kulimiliki jukwaa kama akina Kikwete bali ni mthubutu na hakuna wa kujilinganisha naye. Najua wengi (walofisadi nchi hii) wana kinyongo naye, lakini Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ni uchuro kusema ati mtu unataka maendeleo ya watu si vitu - Hivi huyo mtu anayesema uharo huo ana akili? Maendeleo yanaanzia kwa vitu ndipo watu wanatumia hiyo miundombinu kujiletea maendeleo. Stop cheating people na siasa uchwara zenu
Hahaha mbona unafoka!?

Hii siasa usije kunywa sumu bure. Take it easy.
 
Mzee kupenda kubaya Chongo anaitwa Makengeza Manunuzi makubwa bila bunge ni sawa? Museveni juzi bila baraka za bunge sawa?

Kwingine huku kwani hata ni kupenda basi?

Zingine ni njaa tu. Buku 7 zetu zikihatarishwa nani atakubali ziende kirahisi? Tukale wapi sisi?

Kuwa hawana macho au masikio? Thubutu!
 
Pamoja na hayo yote lakini JPM anarudi magogoni

sent from HUAWEI

Hata kama ni kwa kukwiba uchaguzi mkuu?

Au ndiyo ile mnayoitaga mabao ya mkono?

Au ile ya kukataa kutoshindwa huku mkijiita washindani?
 
Back
Top Bottom