REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Mengine Magumu Sana!!!Mwari ameanza kuahidi vyeo kwa watakaompigia kura, hii ni hongo. Takukuru hamlioni hili?
Sijaona mahali Tundu anabwabwaja. Shida ni mooja tu, anachosema Lissu ni kile ambacho hamtaki na hampendi kusikia.Naona unazungumza kinyume, mshaurini Tundu, sijui la wapi, aache kubwabwaja
Hujui kitu wewe.Mambo mengine uwe unadanganya mbulula wenzako.Tathimini yako haiko huru inapotosha. Unless wewe umezaliwa 1990s, kwa tuliokuwepo hizi awamu 5, nakuapia hakuna wa kulingana na JPM katika kutafuta maendeleo ya Tanzania. Siyo mwanasiasa wa kulimiliki jukwaa kama akina Kikwete bali ni mthubutu na hakuna wa kujilinganisha naye. Najua wengi (walofisadi nchi hii) wana kinyongo naye, lakini Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ni uchuro kusema ati mtu unataka maendeleo ya watu si vitu - Hivi huyo mtu anayesema uharo huo ana akili? Maendeleo yanaanzia kwa vitu ndipo watu wanatumia hiyo miundombinu kujiletea maendeleo. Stop cheating people na siasa uchwara zenu
Nibebe Nibembeleze Mbeleko!!!!Pamoja na hayo yote lakini JPM anarudi magogoni
sent from HUAWEI
Pamoja na hayo yote lakini JPM anarudi magogoni
sent from HUAWEI
Tunashukuru kwa ushauri wako ila tukujuze tu mgombea wetu ashauriki anajiona ana akili kuliko watu wote Tanzania
Sema tangu juzi akilala anaweweseka anatamka maneno mshikeni uyo mshikeni uyo
Tukimhojo tushike nani anajibu Lisu lisu
Hahaha mbona unafoka!?Tathimini yako haiko huru inapotosha. Unless wewe umezaliwa 1990s, kwa tuliokuwepo hizi awamu 5, nakuapia hakuna wa kulingana na JPM katika kutafuta maendeleo ya Tanzania. Siyo mwanasiasa wa kulimiliki jukwaa kama akina Kikwete bali ni mthubutu na hakuna wa kujilinganisha naye. Najua wengi (walofisadi nchi hii) wana kinyongo naye, lakini Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Ni uchuro kusema ati mtu unataka maendeleo ya watu si vitu - Hivi huyo mtu anayesema uharo huo ana akili? Maendeleo yanaanzia kwa vitu ndipo watu wanatumia hiyo miundombinu kujiletea maendeleo. Stop cheating people na siasa uchwara zenu
Mengine Magumu Sana!!!
Mzee kupenda kubaya Chongo anaitwa Makengeza Manunuzi makubwa bila bunge ni sawa? Museveni juzi bila baraka za bunge sawa?
Pamoja na hayo yote lakini JPM anarudi magogoni
sent from HUAWEI
Uwanja wa kimataifa wa kijiji cha chato.Jee munaweza kunikodisha ule uwanja wa ndege pale chato maana nitakua na birthday