Hii kauli ameisema Tundu Lissu mara mbili akimhusisha Bashiru Ally Katibu mkuu huyu wa ccm...
Mosi ni pale Bashiru alipomdhihaki Mh Lissu juu ya sera yake ya Uhuru akirudia alichokisema Mkapa 2015 akisema Tanzania tayari iko huru kwa nini lissu anazungumzia Uhuru?
Bila ajizi na bila kupepesa Mh Lissu akitumia kipawa chake cha hali ya juu akamfundisha Bashiru na watz maana ya Uhuru akimnukuu Baba wa taifa kwenye kitabu chake cha Uhuru na Umoja alichokiandika baara ya tz kupata uhuru 1961. Lkn pia alirejea azimio la tz kuingiza kwenye katiba yake maswala ya Uhuru na haki za binadamu ambalo nalo lilikuja baada ya Tanzania kupata uhuru.
Pili ni pale Bashiru alipoiponda sera ya majimbo ya Mh Tundu Lissu na chadema. Km kawaida mbeba maono huyu mwenye uwezo mkubwa na kushawishi na kujenga hoja hakusita kumshangaa Bashiru hasa kiwango chake cha akili anachokionyesha baada ya kuwa katibu mkuu wa chama dola ccm.....Akampa somo murua kabisa.
Ishu yangu ni je, Tundu Lissu anamaanisha nini anapomwambia Bashiru ana akili zaidi ya anazozionyesha?
Inamaana akiwa ccm anatumia akili zake kwa kiwango cha chini sn tofauti na awali alipokua mwalimu na mtu huru?
Je ni wangapi wapo km kina Bashiru wanatumia akili zao tofauti na zile zinazojulikana na wengi kwa vile tu wapo na wana vyeo ccm?
Check clip hiyo.... Je haya maoni ya Musiba kuhusu ili uwe mwana ccm ni lazima kua mnafiki wa kiwango cha phd yana ukweli?
NI KAULI YA KUFIKIRISHA. TUENDELEE KUTAFAKARI ZAIDI
@TunduALissu
Nyerere alikuwa akiendaga pale Nkrumah hall Udsm kufanya mijadala na wanataaluma, sasa huyu Bushiri hebu aige utaratibu huo na amshauri mwenyekiti wake pia aigilizie utamaduni huo wa kufanya mijadala na wasomi.
Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.
Ni ukweli mtupu kuwa kabla Bashiru hajawa Katibu mkuu wa CCM alikuwa anaongea, kujadili na kuchambua mambo na hoja mbalimbali Kama mtu mwenye akili kubwa.
Kawa Katibu mkuu wa CCM amegeuka na kuwa mtu asiye na maarifa, anaongea ujinga.
Prof. Kabudi ni mfano mwingine wa watu waliozika maarifa waliyonayo baada ya kupewa madaraka.
Nyerere alikuwa akiendaga pale Nkrumah hall Udsm kufanya mijadala na wanataaluma, sasa huyu Bushiri hebu aige utaratibu huo na amshauri mwenyekiti wake pia aigilizie utamaduni huo wa kufanya mijadala na wasomi.
Lissu yuko sahihi kabisa, Bashiru ame 'assimilate' na mfumo wa CCM, kwenye system inayo adhibu wenye uthubutu na maarifa basi wajinga ndio wanaoshamiri, sasa kwakua Bashiru analinda ugali wake ni lazima ajifanye mjinga siku ipite.
Ni ukweli mtupu kuwa kabla Bashiru hajawa Katibu mkuu wa CCM alikuwa anaongea, kujadili na kuchambua mambo na hoja mbalimbali Kama mtu mwenye akili kubwa.
Kawa Katibu mkuu wa CCM amegeuka na kuwa mtu asiye na maarifa, anaongea ujinga.
Prof. Kabudi ni mfano mwingine wa watu waliozika maarifa waliyonayo baada ya kupewa madaraka.
Ni ukweli mtupu kuwa kabla Bashiru hajawa Katibu mkuu wa CCM alikuwa anaongea, kujadili na kuchambua mambo na hoja mbalimbali Kama mtu mwenye akili kubwa.
Kawa Katibu mkuu wa CCM amegeuka na kuwa mtu asiye na maarifa, anaongea ujinga.
Prof. Kabudi ni mfano mwingine wa watu waliozika maarifa waliyonayo baada ya kupewa madaraka.
Ni ujinga uliopitiliza kudhani kupenda CCM ni ujinga, ila kuwa na akili ni kupenda Chadema.
Na hii inafanya kufikiria kuwa Form six failure akiwa Chedema anaufahamu mkubwa kuliko Prof. aliyekuwa CCM. Chadema ndio imekuwa IQ Tester. Ukipata matokeo ya Pass-- Wewe Lissu kwa kuwa uko chadema ni mwerevu sana. Na Mwigulu aliyepata Fist Class kwa kuwa yupo CCM yeye ni mjinga. Akili ya mavi hiyo.
Yaani ukitamka neno Chadema tuu na ufahamu wako unabadilika.
Mnajiaminisha Ujinga, Viongozi wajinga wamewafanya muamini Ujinga wao, na maisha yenu na muono wenu waa kisiasa umejaa Ujinga uliopitiliza.
Na wajanja waliokaa na wakaishi nanyi kisiasa kwa muda mfupi tuu wamegundua ninyi ni wajinga na ndio maana wasomi wabobezi na mtajiri wanawakimbia kila uchao kwa ujinga wenu.
Ni ujinga uliopitiliza kudhani kupenda CCM ni ujinga, ila kuwa na akili ni kupenda Chadema.
Na hii inafanya kufikiri kuwa Form six failure akiwa Chedema anaufahamu mkubwa kuliko Prof. aliyekuwa CCM.
Yaani ukitamka neno Chadema tuu na ufahamu wako unabadilika.
Mnajiaminisha Ujinga, Wajinga wamewafanya muamini Ujinga wao, na maisha yenu na muono wa kisiasa umejaa Ujinga uliopitiliza. Na wajanja waliokaa kisiasa na nyinyi wakaishi na nyinyi kwa muda wamegundua nini ni wajinga na ndio maana wanawakimbia.
Kujibu kwa mihemuko wala hauwasaidii. Rudia kusoma nilichoandika halafu usome ulichoandika!
Hakuna aliyesema kuipenda CCM ni ujinga! Hoja ni kuwa kwa nini unapokuwa mwanaCCM unaanza kuongea ujinga ujinga na kuona watu wengine ni wajinga kiasi cha kuwa wanaweza kukubaliana na ujinga wenu!?