Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

Sukuma gang mnatapatapa Sana ila ndio hivyo no way out ,hiyo ngoma hadi 2030..

Ikifika 2025 usije kupotea humu.
 
Watanzania wengi bado ni mafala Sana Kwahiyo kanda ziwa unaona ni tume ya uchaguzi?

CCM hawashindi uchaguzi Kwa njia ya kura hata kama kanda ziwa mtachagua vyama vingine mwisho WA siku atatangazwa Tu mgombea WA CCM.

Nani kakudanganya kuwa CCM wanategemea ukanda?
 

Kanda ya ziwa samia hakubaliki wala halihitaji degree kuliona na kulielewa.​

 

Kanda ya ziwa watampatia kura Samia za kumshukuru kumpoteza JPM?Hakubaliki kabisaaaa​

 
Sukuma Gang hawaamini kua Uraisi ni ofisi na sio Magufuli
 
Angekufa JK badala ya JPM 2025 samia angepewa kura ila kifo cha JPM? Samia sahau kanda ya ziwa 100%
 
Watu wa kanda ya ziwa wana kitu moyoni
So what? Watu na Lindi na Mtwara walimkataa JPM ila kuna Jimbo hata moja CUF au ACT walimzidi kura JPM?

2025 kama hamna tume huru hizi ni kelele tu na nakuhakikishia hakuna team JPM atapenya kura za maoni na hamtokua na la kufanya.
 

mkuu wa nchi, hata uwaziri wa jinsia hana uwezo nao. Kikundi cha watu wachache kimempa nchi. Joyce banda wa malawi ninamkumbuka​

 
Naona chawa wa mama wamepanic, to be Neutral SSH, ana kazi kubwa Kanda ya ziwa ndo ukweli
 
Ayatolah huna jipya. Lindi na Mtwara wana impact gani kwenye siasa za hapa Tanzania.

Unakumbuka kuwa watu wa kaskazini walikuwa hawamtaki Jakaya 2005? Lakini kanda ya ziwa wakampa urais.
sio kanda ni tume ya uchaguzi ndio inayotoa uRais Magufuli angepigwa chini mapema kama mngekua na choice ya kuchagua.
 
Tuache porojo, Samia ana mtihani kanda ya ziwa. Watu wengi wanampuuza sana. Wana kinyongo naye. Wengi humu wanampuuza mleta mada kwa hisia tu. Tuulizeni sisi tulioko huku
 
Sukuma gang mnatapatapa Sana ila ndio hivyo no way out ,hiyo ngoma hadi 2030..

Ikifika 2025 usije kupotea humu.
Hata magu mulimtabiria kukaa madarakani saana, yuko wapi. Hata huyo chief wenu ni ana nyama na damu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…