Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jiwe aliambiwa ukweli na wana Bukoba alipokwenda kuomba kura wakasema hawamtaki.Nimekucheki unaongea pumba mbele ya mkuu wa nchi. Wewe ni unajifanya hujui kusema kweli? Kwa nini usikae kimya.
Unaona kabisa deamenor ya mkuu wa kaya hapo Bukoba hainyonyeshi kuwa anakubalika kanda ya ziwa alafu unaweka uongo wa kumpamba.
View attachment 2255606