Bashungwa acha kumdanganya mkuu wa nchi, umeona deamenor yake. Kanda ya ziwa wana kitu moyoni

Jiwe aliambiwa ukweli na wana Bukoba alipokwenda kuomba kura wakasema hawamtaki.
 
Dhibitisha kama hakubaliki
Huyo ni sukuma gang anataka kuwadanganya watanzani kuwa mama Samia hakubaliki.

Maana hapo Bukoba jiwe aliambiwa ukweli na wana kagera kuwa hawamtaki.
 
Ayatolah huna jipya. Lindi na Mtwara wana impact gani kwenye siasa za hapa Tanzania.

Unakumbuka kuwa watu wa kaskazini walikuwa hawamtaki Jakaya 2005? Lakini kanda ya ziwa wakampa urais.
Ndio nakuelewesha whether watu wamkubali au wamkatae mgombea wa CCM haisaidii kitu maana anayeamua matokeo ni TISS sio kura zenu.
 
Uwanja ni mkubwa lakini watu wachache mno.

Inasikitisha mno.

Namna mkuu wa nchi asivyo na support ya wananchi anaowaongoza.

Isipokuwa kwa wafanyabiashara na familia za kitawala.
 
Tuache porojo, Samia ana mtihani kanda ya ziwa. Watu wengi wanampuuza sana. Wana kinyongo naye. Wengi humu wanampuuza mleta mada kwa hisia tu. Tuulizeni sisi tulioko huku

Does it matter? Kwanza Kamati Kuu ya CCM ndiyo inamteua kugombea. Sio wananchi. Pili 2020 alishasema mkiamua kuunga kijiko cha sukari ziwani bado CCM itaunda serikali. Na ndivyo ilivyokuwa. Hapo ana mtihani gani?
 
Ndio nakuelewesha whether watu wamkubali au wamkatae mgombea wa CCM haisaidii kitu maana anayeamua matokeo ni TISS sio kura zenu.
Sasa tufanyeje waTanzania ili na huyu TISS naye amchoke CCM, kama kweli ndiye muamzi wa mwisho!
 
Uwanja ni mkubwa lakini watu wachache mno.

Inasikitisha mno.

Namna mkuu wa nchi asivyo na support ya wananchi anaowaongoza.

Isipokuwa kwa wafanyabiashara na familia za kitawala.
Jinsi nchi yetu ilivyo kwa sasa, kama "wafanya biashara na familia za kitawala" wanamkubali, basi kiongozi huyo hana wasiwasi wowote na nafasi yake.
 
Sasa tufanyeje waTanzania ili na huyu TISS naye amchoke CCM, kama kweli ndiye muamzi wa mwisho!
Katiba mpya Ili
1.Tume huru
2.Mahakama huru
3.Haki ya kupinga matokeo ya Urais kortini.
4.Rais hatokua na haki ya kuvunja bunge likipinga sera zake.
5. Wakurugenzi kutosimamia chaguzi kuu.

Hayo yanaweza saidia kupunguza ushawishi wa TISS kwenye matokeo ya mwisho. Rejea chaguzi za Kenya baada ya katiba mpya walau Zina reflect maoni ya wananchi.
 
Huyo TISS hayo hayaoni na kuyazuia?
 
mama sasa hivi anakubalika kila kona mmebaki wachache sana mnao piga kelele mitandaoni
 
hakuhna kitu kama hicho huo ni uroho wa madaraka tu acheni ccm ipige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…