Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Menejimenti ya Wizara hiyo kusimamia na kuviwezesha vitengo vya Mawasiliano kwa Umma vilivyopo katika Vyombo vya Ulinzi ikiwemo Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji katika utoaji wa taarifa akiamini taarifa ni hitajio la msingi la wananchi ili kuweza kupunguza matukio ya uhalifu yanayosababishwa na ukosaji wa taarifa sahihi au watu wenye nia ovu na nchi kutumia mwanya huo kusambaza taarifa za uchonganishi
Waziri Bashungwa ameyasema hayo leo Desemba 12, 2024 Jijini Dodoma baada ya kuwasili Makao Makuu ya wizara hiyo katika mji wa Serikali Mtumba.
Waziri Bashungwa ameyasema hayo leo Desemba 12, 2024 Jijini Dodoma baada ya kuwasili Makao Makuu ya wizara hiyo katika mji wa Serikali Mtumba.