Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Wananchi gani wawe huru wakati chama kikubwa cha upinzani wamefungiwa kwa hila, ili maccm na wenzao ACT na CHAUMA pekee ndo wafanye siasa??Bashungwa: Hali ya Usalama Nchini ni Shwari, Wananchi muwe Huru kushiriki shughuli za Kisiasa
Shughuli za kisiasa ambazo CCM ime compromise na kuharibu mfumo wote wa Uchaguzi kwa faida yenu?Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
Ni vurugu mechi yaani mchanganyo mchanganyiko🐼
Waziri wa ulinzi?
unauhakika na unacho kinenaShughuli za kisiasa ambazo CCM ime compromise na kuharibu mfumo wote wa Uchaguzi kwa faida yenu?
Msikilize huyu Juha.
Maneno matupu haya ya kisiasa.. Hali ni salama kwao sio kwetuWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.
😂😂😂Ni vurugu mechi yaani mchanganyo mchanganyiko