GE2025 Bashungwa: Hali ya Usalama Nchini ni Shwari, Wananchi muwe Huru kushiriki shughuli za Kisiasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Your browser is not able to display this video.
 
Bashungwa: Hali ya Usalama Nchini ni Shwari, Wananchi muwe Huru kushiriki shughuli za Kisiasa
Wananchi gani wawe huru wakati chama kikubwa cha upinzani wamefungiwa kwa hila, ili maccm na wenzao ACT na CHAUMA pekee ndo wafanye siasa??
 
Shughuli za kisiasa ambazo CCM ime compromise na kuharibu mfumo wote wa Uchaguzi kwa faida yenu?

Msikilize huyu Juha.
 
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi, Innocent Bashungwa, leo amefungua rasmi Kituo cha Polisi Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma na kutoa ujumbe muhimu kuhusu hali ya usalama wa nchi na maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu.

Maneno matupu haya ya kisiasa.. Hali ni salama kwao sio kwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…