Bashungwa hutoshi!

MECHI YA YANGA NA AZAM ILISOGEZWA MBELE - ikatolewa sababu.
MECHI YA BIASHARA NA YANGA ILISOGEZWA MBELE - ikatolewa sababu.

MECHI YA SIMBA NA YANGA IMESOGEZWA MBELE - haijatolewa sababu ( WHY.!!)? @Tanfootball

NCHI NZIMA HATUJUI SABABU ZAIDI YA WAZIRI WA MICHEZO TU- @innobash
 
kujiudhuru hawezi sababu aliyemteuwa ndiye aliyempa maelekezo

mambo mengine ni kujiongeza tu
 
tatizo kulazimisha Legasi. Siku hizi kila mstaafu ambaye anaona kama legasi yake haizungumziwi basi anaibuka na kuandika andika mavitabu yanayoitwa Maisha yake binafsi
Halafu humo ndo wanakiri makosa yao.. na kufyatuana na viongozi wenzao.. na hata wakati mwingine kusema usaliti wa wenzao kwao
 
Kuna kutolewa kafala
na hadi hapa tulipofika bashungwa ameshatolewa kafala πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

ila kuna mambo yanaumiza sometimes πŸ˜… unapewa maagizo na mkubwa wako ambayo kuyakataa huwezi na fika unajua hayo maagizo yanaenda kukufanya kuonekana wewe ni wa hovyo kupitiliza
 
Bashungwa hatoshi wala hatosheki hivyo hatojiuzulu kwani nimroho wa madaraka na hajielewi
 
Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa alitoa Rais Bungeni ati TFF itoe sababu ya pambano la Yanga na Simba kuahirisha.
Utafikiri hamjui kilichotokea!
 
Nasikia ametumbuliwa? Mwenye ufahamu atufahamishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…