Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema upo utaratibu upande wa jeshi la magereza , ndugu jamaa, rafiki anapotaka Kwenda kumuona maabusi au mfungwa zipo taratibu zinasimamiwa, kwahiyo tukikata tuwe na VIP Tretimenti na yenyewe inakuwa sio sawa
Soma Pia: Bashungwa atoa ufafanuzi kesi ya Tundu Lissu kusikilizwa kwa Mahakama Mtandao, aagiza Polisi kuendelea kudhibiti matishio ya kiusalama
Pia mzisimamie ili isionekane watu wenye hadhi Fulani wanapendelewa na mnyonge labda anaonewa kwahiyo Kamishina Jenerali wa magereza muendelee kusimamia taratibu na mtende haki.