Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
If you think angeenda nje ya matakwa ya serikali, umekosea sanaMwanzoni nilifikiri huyu jamaa ana akili ya kujitambua. Kumbe na yeye ni wale wale tu.
Wewe ndio unazo! Hongera!Mwanzoni nilifikiri huyu jamaa ana akili ya kujitambua. Kumbe na yeye ni wale wale tu.
Huyu mbwa nliamin kabsa anaweza kuja kua kiongoz mzur ila naona na yy ni wale wale !!! Angekua na akili za katibu mkuu a Chama angependeza sana haoni kesho anaona Leo tuuWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema upo utaratibu upande wa jeshi la magereza , ndugu jamaa, rafiki anapotaka Kwenda kumuona maabusi au mfungwa zipo taratibu zinasimamiwa, kwahiyo tukikata tuwe na VIP Tretimenti na yenyewe inakuwa sio sawa
Soma Pia: Bashungwa atoa ufafanuzi kesi ya Tundu Lissu kusikilizwa kwa Mahakama Mtandao, aagiza Polisi kuendelea kudhibiti matishio ya kiusalama
Pia mzisimamie ili isionekane watu wenye hadhi Fulani wanapendelewa na mnyonge labda anaonewa kwahiyo Kamishina Jenerali wa magereza muendelee kusimamia taratibu na mtende haki.
Alafu unaambiwa sijui anaandaliwa kuwa Rais, unajiuliza hivi wanaona nini ambacho sisi hatukioni. He is dense, kama kungekua na uchaguzi huru huyu ni kumuondoa jimboni kabisa. Sijawahi ona lolote la maana wala ubunifu zaidi ya mahotuba tu.Mwanzoni nilifikiri huyu jamaa ana akili ya kujitambua. Kumbe na yeye ni wale wale tu.
Kila siku ninakuambia uwe unatumia muda wako mwingi kwenye masomo; hutaki!Wewe ndio unazo! Hongera!
Anamfurahisha mama. Ukitesa wapinzani unakuwa rewarded vizuri sana ndani ya CCM.Mwanzoni nilifikiri huyu jamaa ana akili ya kujitambua. Kumbe na yeye ni wale wale tu.
Ni mtu wa hovyo sn na mjinga kupita kiasihuyu jamaa wizara zile zingne zilimtengeneza ila hii wizara ya sasa itamuharibia kabisa na kumpoteza kisiasa
Mkimbizi toka lini ana akili. Pandikizi kutoka Karagwe na kapewa Wizara nyeti kabisaMwanzoni nilifikiri huyu jamaa ana akili ya kujitambua. Kumbe na yeye ni wale wale tu.
Hawezi. Anaandaliwa na nani ?Alafu unaambiwa sijui anaandaliwa kuwa Rais, unajiuliza hivi wanaona nini ambacho sisi hatukioni. He is dense, kama kungekua na uchaguzi huru huyu ni kumuondoa jimboni kabisa. Sijawahi ona lolote la maana wala ubunifu zaidi ya mahotuba tu.
Ahaaaa mbona inaonyesha anazo ingawa inaonyesha anacho ongea siyo kilichoko moyoni mwake.Kwasababu anaengelea kuhusu Jinsi makili walisu walivyo lalamikia kuhusu mteja wao.Hizi sheria mbovu na utaratibu mbovu wanao uweka wanadhani ni kwa ajili ya wapinzani tu kumbe hata wao siku moja wanaweza kufikishwa huko na wakanyimwa dhamana na Sheria hizi hizi walizo zitunga kwa ajili ya wapinzani.Mwanzoni nilifikiri huyu jamaa ana akili ya kujitambua. Kumbe na yeye ni wale wale tu.