Bashungwa: Nawakumbusha vijana kuendelea kutumia vizuri kipindi cha mvua kwa ajili ya kilimo

Bashungwa: Nawakumbusha vijana kuendelea kutumia vizuri kipindi cha mvua kwa ajili ya kilimo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Huyu baba siku hizi amekuwa anavijitabia fulani ambavyo mimi sivielewi au ndiyo kujipigia kampeni kuelekea 2025

Nawakumbusha vijana kuendelea kutumia vizuri kipindi cha mvua kwa ajili ya kilimo kwani kila zao hivi sasa ni zao la biashara. Bei nzuri na sera nzuri ya zao la kahawa kwa mkoa wa Kagera imetushawishi sisi wakulima kurudi mashambani na kupanda miche ya kahawa kwa wingi, akiwemo Mama Alaska

Tunamshukuru mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa dira na jitihada nzuri za kuinua zao la kahawa. Tunaishukuru Wizara ya Kilimo ikiongozwa na Hussen Bashe kwa ubunifu na kwa kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo

 
Back
Top Bottom