Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Niliwai ishi Kijiji kinaitwa itongo wilaya ya muleba kata ya Nshamba miaka ya 95,
Kuna mgombeza ubunge sijawai msaau alikuwa anatokea itongo ulipofika wakati wa uchaguzi alitoka Dsm na kurudi kijijini kugombea ubunge Alipofika alinunua ng'ombe 100 sukari mchele na sukari
Kampeni zilivyoanza akafunga Kijiji kizima Cha itongo hakuna mwananchi aliyetakiwa kura kwao wote waliamia kwake Mzee alichinja kila uchwao watu walikura na kusaza
Alibebwa kila uchwao kwenye mabega ya wanaume wenye pande nne za mraba minne
Yaliyojili baada ya uchaguzi Yule mgombea kula zilipoesabika alijikuta Kijiji Cha itongo anakura yake yeye yaani hata mkewe na watoto wake hawakumchagua yaliyojili Mzee yule usiku ulipotangazwa matokeo alikimbilia Dsm hakurudi mpaka mahuti yalipo mkuta.
Leo hii Bashungwa namwona kwenye MITANDAO nikimwona ananunua ubwabwa na kuwaarikaWahaya kuwarubuni wamwone wa maana? Bashungwa ni Waziri wa ulinzi hapo kijijini kwake amesaidia vijana wangapi wajiunge na JESHI la POLISI au wapate ajira?
Kamuulize Mzee Tibaigana anapoishi yeye amezungukwa na polisi(hata kama ni mipolisi) lakini aliwasidia wapate ajira
Bashungwa anashungwa na mabakia ya Wahaya kwa kuwapa wari wampe kura reali?(Nisingeandika kingereza usingejua kama natokea uko.)😂😂😂😂