Bashungwa ni Waziri wa ulinzi hapo kijijini kwake amesaidia vijana wangapi wajiunge na JESHI la POLISI au wapate ajira?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Niliwai ishi Kijiji kinaitwa itongo wilaya ya muleba kata ya Nshamba miaka ya 95,

Kuna mgombeza ubunge sijawai msaau alikuwa anatokea itongo ulipofika wakati wa uchaguzi alitoka Dsm na kurudi kijijini kugombea ubunge Alipofika alinunua ng'ombe 100 sukari mchele na sukari

Kampeni zilivyoanza akafunga Kijiji kizima Cha itongo hakuna mwananchi aliyetakiwa kura kwao wote waliamia kwake Mzee alichinja kila uchwao watu walikura na kusaza

Alibebwa kila uchwao kwenye mabega ya wanaume wenye pande nne za mraba minne

Yaliyojili baada ya uchaguzi Yule mgombea kula zilipoesabika alijikuta Kijiji Cha itongo anakura yake yeye yaani hata mkewe na watoto wake hawakumchagua yaliyojili Mzee yule usiku ulipotangazwa matokeo alikimbilia Dsm hakurudi mpaka mahuti yalipo mkuta.

Leo hii Bashungwa namwona kwenye MITANDAO nikimwona ananunua ubwabwa na kuwaarikaWahaya kuwarubuni wamwone wa maana? Bashungwa ni Waziri wa ulinzi hapo kijijini kwake amesaidia vijana wangapi wajiunge na JESHI la POLISI au wapate ajira?

Kamuulize Mzee Tibaigana anapoishi yeye amezungukwa na polisi(hata kama ni mipolisi) lakini aliwasidia wapate ajira

Bashungwa anashungwa na mabakia ya Wahaya kwa kuwapa wari wampe kura reali?(Nisingeandika kingereza usingejua kama natokea uko.)😂😂😂😂
 
Wenda andiko lako lina funzo ,ila sasa kichwa cha andiko umekuja nacho spidi ya Ngiri,

Waache wahaya wapo na ulimwengu wao aisee.

Katika makabila mengi wahaya bado wana heshima achana na wale wanaojiuza mjini maana hakuna kabila halina vibaka wanaojiuza
 
Threads zako zina dalili ya wivu, huku Bashungwa kule Ndugai, sijui hamnaga mambo ya maana ya kuanzishia nyuzi!?..,.
 
Mbona R na L mixer. 1995 ALIGOMBEA MASILINGI NA BAGENDA.MASILINGI TOKA BUYAGONGO NSHAMBA NA BAGENDA TOKA BUGANGUZI KWA AKINA TIBAIGANA NA MUHAZI.UNAYEMSEMA NI YUPI HAPO?
 
Huyo mnyambo, sio muhaya
 
Bashungwa ni Mnyambo, wanyambo wa hali ya chini watampa kura na ndo wengi. Lakini wanaojitambua hawawezi mpa kura sababu Wanasema pamoja na kushika nafasi nyingi za uwaziri ikiwemo ujenzi na Tamisemi ila ameshindwa hata kushawishi barabara ya Omurushaka to Benako ijengwe kwa kiwango cha lami.
 
Huyu ndio yule waziri picha ….yaani kwa haya yote yanayoendelea yanayohitaji kauli …watu wanauliwa …yeye kimyaaa …yuko tu ananunulia wananchi Viroba ….mama ana wasaidizi mizigi Clown sana
 
Rami❌️

Lami✅️
 
Hiyo ni kawaida kwa jamii ya wakurya na wahaya, Kuna spelling fulani tumeathiriwa na lugha yetu mama. Wahaya H na R na ng'o ni Kisanga. Hata akitamka maneno yanayohusiana na hizo herufi lazima arejeshe mfumo mzima wa herufi kwenye akili kwanza ndio atamke.
 
Ni uzembe tu na kutokujali simlifundishwa shule? Ukifundishwa si unaelimika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…