Akizungumza leo Oktoba 28, 2025, katika mkutano wa kufunga kampeni kuu za CCM kitaifa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye pia ni mgombea ubunge wa Karagwe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Bashungwa
Bashungwa amesema vijana wana nafasi muhimu katika maamuzi ya nchi, hivyo hawapaswi kurubuniwa na watu wanaotaka kuvuruga amani kipindi cha uchaguzi.
“Vijana ndio nguvu ya Taifa. Ni muhimu mjitokeze kwa wingi kesho kutekeleza haki yenu ya kikatiba kwa amani na utulivu. Epukeni kushawishiwa kufanya vitendo vya vurugu au uchochezi, kwani vyombo vya usalama vipo imara na havitasita kuchukua hatua,” amesema Bashungwa.
Pia amesema Serikali imeimarisha ulinzi nchi nzima ili kuhakikisha wananchi wanapiga kura bila hofu, akiwataka vijana kutumia siku hiyo kama fursa ya kuchagua viongozi watakaosukuma mbele maendeleo ya Taifa