Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Waliopigania Haki ya Wananchi Wizara hiyo iliwabeba, mfano Lyatonga Mrema, lakini walioamua kuwatosa wananchi na kuungana na watekaji na wauaji wizara hiyo iliwabwaga na wakaangukia Pua, hapa yupo Nchimbi na Masauni.
Sasa kazi itabaki kwako, uamue kubaki na wananchi au uendelee kutetea Watekaji.
Uliondolewa Wizara ya Ulinzi kwa vile Mamlaka ya Uteuzi iliona kama inakupa Ukubwa zaidi na baadhi ya watu wako walikuwa wanakuita Rais Ajaye ( sijui uliwatuma wakupambe? ).
Sasa haya yanayoendelea Nchini yaendee kwa Ustaarab, Mwangalie Masauni kama mfano hai, leo Masauni hawezi kwenda Tanga na akatembea mitaani bila walinzi, Unafahamu kwanini.
Madaraka huisha lakini Maisha huendelea.